Akina jingalaoHakuna kitu huyo CHAWA. Anaokota okota vitu mitandaoni anakuja na story zake .... Ni Chawa wa kujitotelea huyo. Wale Chawa wa Lumumba waliokuwa wamesajiliwa na Nape enzi za JK walishatelekezwa long time.
Huyo hana lolote na hawezi kupata habari nyeti kama hiyo, huyu huwa anadaka zile zilizotoka sema yeye anaziboresha kwa kuongeza mapambio na nyimbo kusifika ikiwa na sifa kama mnavyowaita chawa.Lucas Mwashambwa hebu njoo unyooshe maelezo huku wewe ni mtu wa karibu sana wa Makonda
Magufuli yupo bize anachapankaziHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
The Department of State is publicly designating Paul Christian Makonda under Section 7031(c) of the FY 2020 Department of State, Foreign Operations, and Related Programs Appropriations Act due to his involvement in gross violations of human rights, which include the flagrant denial of the right to life, liberty, or the ...31 Jan 2020
Acha waendelee kurogwa na kurogana wakumbuke uchawi upo hata uwe Chifu nani ukiotewa umeotewaKumtamkia au kutaka even Ur worst enemy Afe Ni Aina moja wapo ya uchwawi
Hii thread ina maudhui gani sijaelewa...Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Unamuuliza nani? Mshaandaa risala au bado?Eti jamani Makonda hatunaye??
🤣🤣🤣Unamuuliza nani? Mshaandaa risala au bado?
KIFO cha tanziaHii thread ina maudhui gani sijaelewa...
Tanzia ndio nani yaani?KIFO cha tanzia
Wanga noma hamuachi kurogaMsiwe na wasiwasi, marehemu anaendelea vizuri. Mwili haujaoza sana.
If true ndg zake waje wamchukulie dawa hapa kakonko (I'm not joking)Nasikia amepigwa KURUJUANI
Subiria viewersTanzia ndio nani yaani?
Watu wanaroga mbaya Dunia uwanja wa KIFO ni mwendo wa tanzia tuIf true ndg zake waje wamchukulie dawa hapa kakonko (I'm not joking)
Ok, shukrani 🤝Subiria viewers
Mwache apambane na hali yake. Amevuna alichopanda.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.