Eenhhee, tuendelee tulipoishia...
Sasa ikaweje baada ya sumu?

Huyo zero brain leo ukimuangalia tu unaona kuna namna hayuko sawa sio kawaida yake kuwa mtulivu kama hivyo.
Hata hiyo outfit aliyotoka nayo ni kuficha muonekano wake halisi halafu alikuwa anajikuna sana nafikiri ni side effect ya hiyo detoxification iliyofanyika.
 
Kwa hiyo wewe Makonda ndo unamwita zero brain mtu anakuzidi life standard! Mwenzako ana Jubilee Insurance anatibiwa popote wewe ukiumwa hapo ulipo na akount yako feki mkibinzo na simu zitapigwa mpaka kwa bibiyako! Makonda anakuzidi kila kitu tulia endelea na maisha yako maombi yako ya Kishetani yamweshindwa!
 
Kwa hiyo wewe Makonda ndo unamwita zero brain mtu anakuzidi life standard! Mwenzako ana Jubilee Insurance
Pole sana kwahiyo hayo ndio kuwa na bima ya Jubilee maendeleo kwako eeh ? Binafsi mimi nilishapita hizo level.

Yes ni zero brain hujui alipata sufuri kidato cha nne ila kwakuwa meritocracy sio issue Tanzania mtu kama huyo anaweza kumuongoza hata Professor Janabi!

Mimi ninayo life insurance kabisa kutoka Penn Mutual
anatibiwa popote wewe ukiumwa hapo ulipo na akount yako feki mkibinzo na simu zitapigwa mpaka kwa bibiyako
Oh pole ! Sana ndio CCM imewadanganya hivyo ?

Sio ajabu mmeshindwa kuendana na kasi ya Aga Khan.
! Makonda anakuzidi kila kitu tulia endelea na maisha yako maombi yako ya Kishetani yamweshindwa!
Sihitaji kumzidi Makonda zero brain mimi nashindana na mtu ambaye nikijiangalia kwenye kioo namuona, huyu ndio nataka niwe bora kuliko yeye kila iitwapo leo.

Huyo Makonda amekuwa mtumishi wa umma ila kilipofika kipengele cha kufanyiwa lifestyle audit[ ambayo ni kisheria ipo kwa mtumishi wa umma] ndio walipochora mstari , kazi kwako nadhani utakuwa zero brain mwenzie.
 
Ukimchukia mtu mwisho utasema karudi miguu yake imepinda 😄
 
Anamzidi kila kitu ?!! [emoji44][emoji44]

Like seriously mzeya ?!!

Anyways nimefurahi kumwona kamarada wetu El Commandante PM[emoji7]
 
Hata hiyo outfit aliyotoka nayo ni kuficha muonekano wake halisi halafu alikuwa anajikuna sana nafikiri ni side effect ya hiyo detoxification iliyofanyika.
Could be !
Ila amedhoofika na haonyeshi zile bashasha zake kama kawaida yake !
Lakini yawezekana maradhi yaliyomshika yalikuwa makubwa !

Lakini still nobody knows for sure what happened to him !
 
Tunaiijua hiyo michuzo tulishamkatalia mleta mada kitambo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…