Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 13,942
- 15,371
CCM mkuu haishindwi kitu! Wanaweza hata kufukua maiti ije iseme ili kutufumba midomo tu!Kiufupi nimenotice kama hayupo sawa ni labda kapata recovery ndio wakamtoa aje apige PR .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CCM mkuu haishindwi kitu! Wanaweza hata kufukua maiti ije iseme ili kutufumba midomo tu!Kiufupi nimenotice kama hayupo sawa ni labda kapata recovery ndio wakamtoa aje apige PR .
Huyo zero brain leo ukimuangalia tu unaona kuna namna hayuko sawa sio kawaida yake kuwa mtulivu kama hivyo.CCM mkuu haishindwi kitu! Wanaweza hata kudukua maiti ije iseme! Kutufumba midomo tu!
Ulitudanganya!Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Huenda ilikuwa malaria tu au UTI au Amoeba 🦠 tu !Makonda katokea ila afya yake haipo sawa kbs
Eenhhee, tuendelee tulipoishia...
Sasa ikaweje baada ya sumu?
Hata hiyo outfit aliyotoka nayo ni kuficha muonekano wake halisi halafu alikuwa anajikuna sana nafikiri ni side effect ya hiyo detoxification iliyofanyika.Huyo zero brain leo ukimuangalia tu unaona kuna namna hayuko sawa sio kawaida yake kuwa mtulivu kama hivyo.
Muda utasema tu.Hata hiyo outfit aliyotoka nayo ni kuficha muonekano wake halisi halafu alikuwa anajikuna sana nafikiri ni side effect ya hiyo detoxification iliyofanyika.
He was poisoned! Good enough haikumuuaHata hiyo outfit aliyotoka nayo ni kuficha muonekano wake halisi halafu alikuwa anajikuna sana nafikiri ni side effect ya hiyo detoxification iliyofanyika.
Kwa hiyo wewe Makonda ndo unamwita zero brain mtu anakuzidi life standard! Mwenzako ana Jubilee Insurance anatibiwa popote wewe ukiumwa hapo ulipo na akount yako feki mkibinzo na simu zitapigwa mpaka kwa bibiyako! Makonda anakuzidi kila kitu tulia endelea na maisha yako maombi yako ya Kishetani yamweshindwa!Nimemuangalia huyo zero brain kwenye hiyo PR ya leo.
Kiufupi nimenotice hayupo sawa ni labda kapata recovery ndio wakamtoa aje apige PR .
Kwani mmesahau Philip Mpango akiwa waziri wa fedha na siku chache nyuma alisema ofisini kwao kuna Covid 19?? ila alivyoletwa kuzungumza mbele ya camera kuonyesha hakuna ugonjwa aliishia kukohoa mwanzo mpaka mwisho.
Mimi bado naona kuna kitu hakikuwa sawa ila kapata ahueni ndio wamemtoa.
Muda utasema tu.
Ni kweli jamaa hayuko sawa! Ila ndo hivo wameshidwa wabaya wake na ukimukosa mtu kazi unayo maana naye anaongeza tahadhari zaidi!He was poisoned! Good enough haikumuua
Britanicca
Pole sana kwahiyo hayo ndio kuwa na bima ya Jubilee maendeleo kwako eeh ? Binafsi mimi nilishapita hizo level.Kwa hiyo wewe Makonda ndo unamwita zero brain mtu anakuzidi life standard! Mwenzako ana Jubilee Insurance
Oh pole ! Sana ndio CCM imewadanganya hivyo ?anatibiwa popote wewe ukiumwa hapo ulipo na akount yako feki mkibinzo na simu zitapigwa mpaka kwa bibiyako
Sihitaji kumzidi Makonda zero brain mimi nashindana na mtu ambaye nikijiangalia kwenye kioo namuona, huyu ndio nataka niwe bora kuliko yeye kila iitwapo leo.! Makonda anakuzidi kila kitu tulia endelea na maisha yako maombi yako ya Kishetani yamweshindwa!
Ukimchukia mtu mwisho utasema karudi miguu yake imepinda 😄Nimemuangalia huyo zero brain kwenye hiyo PR ya leo.
Kiufupi nimenotice hayupo sawa ni labda kapata recovery ndio wakamtoa aje apige PR .
Kwani mmesahau Philip Mpango akiwa waziri wa fedha na siku chache nyuma alisema ofisini kwao kuna Covid 19?? ila alivyoletwa kuzungumza mbele ya camera kuonyesha hakuna ugonjwa aliishia kukohoa mwanzo mpaka mwisho.
Mimi bado naona kuna kitu hakikuwa sawa ila kapata ahueni ndio wamemtoa.
Muda utasema tu.
Anamzidi kila kitu ?!! [emoji44][emoji44]Kwa hiyo wewe Makonda ndo unamwita zero brain mtu anakuzidi life standard! Mwenzako ana Jubilee Insurance anatibiwa popote wewe ukiumwa hapo ulipo na akount yako feki mkibinzo na simu zitapigwa mpaka kwa bibiyako! Makonda anakuzidi kila kitu tulia endelea na maisha yako maombi yako ya Kishetani yamweshindwa!
Bado uniziita pumba?Pumba hizi peleka zizini
Maana ataanza kusema nishindane na mtu mwenye gluteus maximus kubwa za kufanania BBL.Anamzidi kila kitu ?!! [emoji44][emoji44]
Like seriously mzeya ?!!
Anyways nimefurahi kumwona kamarada wetu El Commandante PM[emoji7]
Umeona afya yake? Hayuko timamu. Something not okay in his bodyBado uniziita pumba?
Could be !Hata hiyo outfit aliyotoka nayo ni kuficha muonekano wake halisi halafu alikuwa anajikuna sana nafikiri ni side effect ya hiyo detoxification iliyofanyika.
Hiyo outfit ni kuendelea kuwaaminisha kuhusuana na uongo walioutengeneza. Hakukua na sumu wala nini…Hata hiyo outfit aliyotoka nayo ni kuficha muonekano wake halisi halafu alikuwa anajikuna sana nafikiri ni side effect ya hiyo detoxification iliyofanyika.
Tunaiijua hiyo michuzo tulishamkatalia mleta mada kitambo tu.Hakuna kitu, mleta mada mwenyewe member wa committee of syndicate na ndiye amepewa jukumu ku create hizi scenarios. Huyo Bashite wao wamemtunza sehemu wanataka wamuibue kama shujaa.
britanicca najua hili unalijua vyema kuwa upo hapo kuzichezea akili za hawa netizens.