Could be !
Ila amedhoofika na haonyeshi zile bashasha zake kama kawaida yake !
Lakini yawezekana maradhi yaliyomshika yalikuwa makubwa !

Lakini still nobody knows for sure what happened to him !
Kama inaamika watu wanajiteka basi tuamini huyu naye aliigiza kulishwa sumu ili aonewe huruma.
 
Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?

Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.

Britanicca.
Angeishia hukohuko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…