Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Rumour mongers kiko wapiii!!!
Watanzania wanapenda sana rumours na udaku.
Watanzania wanapenda sana rumours na udaku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lugha sanifu
Ngoja kwanza nile nina njaa hapa aiseeOkay.
Ainisha ipo kutokea kamusi ipi nami nitafute.
Kama inaamika watu wanajiteka basi tuamini huyu naye aliigiza kulishwa sumu ili aonewe huruma.Could be !
Ila amedhoofika na haonyeshi zile bashasha zake kama kawaida yake !
Lakini yawezekana maradhi yaliyomshika yalikuwa makubwa !
Lakini still nobody knows for sure what happened to him !
NamHii code ngumu Sana kufungua
Mbona ilishafunguliwa coz alirudi kwakuchelewa lakini
Panapofuka moshi, pana moto.Rumour mongers kiko wapiii!!!
Watanzania wanapenda sana rumours na udaku.
Heshima kwako.
Angeishia hukohuko..Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Jamaa alituongopea ulikuwa uongo tu.Angeishia hukohuko..
Ulikuwa uongo? Sema basi alikuwa wapi? Na kwa nini anasema sana kuhusu kunusurika mara nyingi?Jamaa alituongopea ulikuwa uongo tu.
Tuliambiwa amekufa! Kwa hiyo alifufuka au?Ulikuwa uongo? Sema basi alikuwa wapi? Na kwa nini anasema sana kuhusu kunusurika mara nyingi?
britanicca alisema amekufa!?Tuliambiwa amekufa! Kwa hiyo alifufuka au?
britanicca na yeye alipotoshwa na chanzo chake cha habari inaelekea huwaga hahakikishi ukweli wa taarifa anazopatiwabritanicca alisema amekufa!?
Ndio soma comments zaidi alizoandika kwenye thread yake hiyo.britanicca alisema amekufa!?