Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Nabii Jamila, Mke wa Madeleka aliitisha press na kuiomba mamlaka imwondoe Kamba, na Bashe kuwa Wana agenda zisojulikana.

Alimtahadharisha pia Konda ajiuzulu KAZI ya kutumika Kwa umma sababu mikono yake ni michafu, akashauri ajiuzulu, asipojiuzulu, adui zake watammaliza.

Ngoja tuone!!
 
Back
Top Bottom