residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Hatimaye habari ya Bashite imekurejesha dada mama D .Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima afe
Hata wewe utakufa
Nimefurahi kujua u salama.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatimaye habari ya Bashite imekurejesha dada mama D .Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke lazima afe
Hata wewe utakufa
Mechi bado ni kali sana! Ila matokeo ndiyo muhimu..😂Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Watu wa vitengo a.k.a suti nyeusi mnafahamiana vizuri.Mbona nyepesi
Wenye D mbili hawawez fungua hii codeMtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
😂😂😂😂Nimecheka Sana JF Raha sanaKONDAKTA.
Ni kwasababu hilo litoto RC linafanya mambo gizani ya hovyo ..
Hasa awamu ya 5, alisimamia operation za kuumiza watu nyingi tuu ..
Najua utasema nitoe ushahidi ..lakini nakwambia DAB alihusika na operation nyingi za hovyo ..ndio maana unaona watu wanafurahi wakisikia na yeye kapatwa na jambo
Wao enzi zao walikuwa wanasema hadharani kuwa kwasababu zile Risasi hazikumuua Lissu basi watamchoma "Sindano za Sumu".unajua hayo ndio maombi ya majority ya Watanzania, though mimi naomba neema ya Mungu iwe juu yake.
Watu wanaombea apendwe zaidi na Muumba.Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
Nafikiri ni madhara ya kuwashwa kwenye kinyeo. Inabidi wajibane.Hii staili ya kukalia tako moja ni maarufu sana kwa wale wa jinsia ya tatu. Hata Haji manara naye anakaliaga tako moja.
NimeelewaAnasema konda boy anaumwa itakuwa wamempa sumu kwa kuwachoma kina February na bumunda…!
Pia kakumbuka konda alichomfanyia watch eight kwa kumpeleka kuliwa na chatu.!! (Kupotezwa)
Nimekufungulia kwa ufupi ndugu mjumbe
Hivi makonda wa kanda ya ziwa nao wanavaa uniform?Fungua code hii!! Hata tuliosoma Cuba tumeshindwa
MAKONDA AU?Mtoto pendwa yuko hoi sana sana sana yaani hoi, inasemekana yuko kwa Madiba, je ni hali ya kawaida au kuna cha zaidi?
Nimekumbuka beirut na kupotea kwa Saa 9 kwa kuliwa na Chatu.
Britanicca.
utakufa wewe utamuachaBora afe tupumue
Watu wana miziziSaa mbovu nazo husema kweli sometime. Usinielewe vibaya ila we are human don't forget
Bwana asipoulinda mji, alindaye akesha bure.Ni kweli mkuu, viongozi kulindwa mpaka na helicopter au kikosi kizima ni mbwembwe tu na kupoteza rasilimali
Angalia Trump majuzi kazungukwa na usalama ila ikapenya
Indira aliuwawa na baadae mtoto wake halafu mwanae wa pili kwa ndege
Saddat aliuwawa alipozuru makaburi
Mwingine namkumbuka Bandaranaike pia aliuwawa na ulinzi wake wa binadamu