Vicky Cruz
Member
- Nov 11, 2017
- 85
- 214
Huu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu msemo wa Kurujuani unatrend sana , kwa hisani ya "Ubaya Ubwela" by Juma MagomaNasikia amepigwa KURUJUANI
Hakika mkuuTumuombee!
Huyo ni chawa mzuri sana wa makonda bila shaka amepewa taarifa za kuumwa pia😂Lucas Mwashambwa hebu njoo unyooshe maelezo huku wewe ni mtu wa karibu sana wa Makonda
Chawa kama chawa 😅😅😅Huyo ni chawa mzuri sana wa makonda bila shaka amepewa taarifa za kuumwa pia😂
kweli kabisaNikweli uyasemayo maisha ya mzee mwinyi yalikuwa ni ya amani mno kwasababu hakuwa na makuu wala visasi wala dhulma
Lucas Mwashambwa hebu njoo unyooshe maelezo huku wewe ni mtu wa karibu sana wa Makonda
Adui hatoki mbaliUsikute yeye ndiye katumiwa kummlisha sumu, hela konyo sana.
duuh aisee hatari sana binadamu wabaya sanaaaHouse boy wake.
Yaani mtu afanye ushenzi na ukatili akitegemea kesho itamsafisha? Hata akibadilika, hiyo ni kwa faida yake, ila kwa aliyoyafanya lazima ayalipe.Ila nimejifunza kuwa watu wanasahau kuwa Kuna kusamehe!
Wanasahau kuwa mtu anaweza fanya vitu vby na akabadirika kuwa mtu tofauti,na akajutia, ni vile tu hawezi tangaza!
Watu wanabaki na Yale ya zamani
uvumi gani mrembo acha umbeaHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.