Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
We vipi mi niko Narung’ombe huku nauza vijora 😹😹Hapo idalani mnasemaje ? Nasikia mama kabadilisha sana watu hapo state house
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We vipi mi niko Narung’ombe huku nauza vijora 😹😹Hapo idalani mnasemaje ? Nasikia mama kabadilisha sana watu hapo state house
Mungu amponyeHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
KweliUnajua swali hani najiuliza na kujijibu
Natamani ndoto hii angeota ntu wake wa karibu ili ampashe hii habari
Ila pia kama ni yeye Mungu amlinde
Ila pia hakuna binadamu anaestahil ukatili wa aina yoyote
hahaha! najua ambao mpo kitengo toka enzi zile hampendi showoff kama madogo zenu.. sasa hivi umehamishia kumbe st peter.. hapo vipiWe vipi mi niko Narung’ombe huku nauza vijora 😹😹
Umeenda mbali mkuu, kazi ya kutoa roho tumwachie Muumba peke yakeHata kama britanicca ameandika uzushi, basi tunaomba Ziraili mtoa roho afanye kweli. Huyu nyang'au amedhulumu maisha na mali za watu wengi.
Ni wakaribu naeAdui hatoki mbali
Ujue unaongea vitu hata sivielewi? Umekula mkuu?? 😹hahaha! najua ambao mpo kitengo toka enzi zile hampendi showoff kama madogo zenu.. sasa hivi umehamishia kumbe st peter.. hapo vipi
acha zako, siku ile nimekuona pale nikajua bado upo makumbusho, kumbe umepanda na cheo.. safi..Ujue unaongea vitu hata sivielewi? Umekula mkuu?? 😹
Anayeua kwa upanga naye atakufa kwa upangaHuu uvumi unaovuma mtandaoni kuhusu afya ya makonda kuna official statement yoyote ile kuverify.
Wewe umeme mdogoacha zako, siku ile nimekuona pale nikajua bado upo makumbusho, kumbe umepanda na cheo.. safi..
nanjaa boss wangu, labda nije hiyo mitaa yenu hapo makumbusho uninulilie hata mbuzi
sawa afisa muandamizi.. nina dogo anatafuta connection kitengoo.. lini aje.. kwa nafasi yako najua chap.. dogo ataenda marindi.. hahaWewe umeme mdogo
KIPARA unamaanisha Azimio la Tanga 2022?Wauaji wa nchii hii wanajulikana walihusika na FILIKU NJOMBE, JPM , KUBENEA, MWAKYEMBE, MGIMWA NA SASA MAKONDA. ROASTM AZIZI KI ni mfadhili mkuu na mratibu mkuu ni KIPARA
Ujui tu ni yule kiongozi alisema anayo majina ya watu waomtukana mama kizimkaziHii code ngumu Sana kufungua
Dawa unatumia kwa wakati?sawa afisa muandamizi.. nina dogo anatafuta connection kitengoo.. lini aje.. kwa nafasi yako najua chap.. dogo ataenda marindi.. haha