Tetesi: Mtoto pendwa kapatwa na nini? Yuko hoi kwa Madiba, inadaiwa ni sumu
Tamko lile sio rasmi la kiserikali bali la kihuni lililotolewa na mtu wa serikali.
Halina tofauti na lile la Chalamila akiwa RC Mbeya kusema nimeongea na Jiwe jana kwa simu akiwa ofisini anachapa kazi kumbe yuko Mzena ICU

Baba Kigani ni mtu wa Kiki lakini kiki zake hazizidi siku tatu ,hii amejichimbia inakaribia week ya tatu hii KIMYA.
 
Hii picha inafikirisha sana
 

Attachments

  • 20240729_103428.jpg
    20240729_103428.jpg
    867.6 KB · Views: 5
Mkuu hii comment yako imenifikirisha sana... MTU una hang nae kama rafiki kumbe yeye anakusomea gape ujae vizuri ili akutoe roho.... Hili jambo inabidi Wana jf wote tuungane tusaidiane kushangaa.... Yote kwa yote acha jamaa afe maana amefanya mambo mengi ya kipumbavu kwa muda mrefu. Mateso aliyowapa wenzie acha nae ayaonje!
Akifa wewe unafaidika au unapoteza nini?
 
Nina imani SISIEMU ni tofauti na serikali ,aliapata ajira SISIEMU akatumikia kwa miezi kati ya minne hadi mitano then akapata ajira serikalini napo ametumikia mpaka sasa miezi miwili hadi mitatu....Hivi likizo unahama nazo ukitoka SISIEMU kwenda Serikalini? Serikalini tangu aanza kazi kwa miezi hiyo michache anaqaulify kupata likizo ya siku 5 tu...Sasa mbona ameenda likizo muda mrefu?
Bashite anavyopenda kiki kuelekea 2025 asingekubali kuchukua likizo ya siku 28
 
Back
Top Bottom