dungune
Member
- Nov 10, 2021
- 70
- 157
naona unayo report ya Daktari.! post ilichelewa kuwa uploaded...😬😬😬Amefariki toka jana baada ya kuokolewa acha uongo.
masaa matatu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naona unayo report ya Daktari.! post ilichelewa kuwa uploaded...😬😬😬Amefariki toka jana baada ya kuokolewa acha uongo.
masaa matatu gani?
umejuaje kwamba watu wanauwana kama sio kupitia vyombo vya habari? tukio limeleta hisia jinsi uokowaji ulivyo fanyika.Watanzania wajinga sana, tunapenda kutukuza vya wenzetu kuliko nyetu, sasa habari hii ni kubwa mpaka kuandika maneno meengi wakati hapa nchini kila kona ya nchi unasikia taarifa za kuuana lakini hamna mwandishi anayesogea kufanya uchunguzi au hata wahusika kufanya coverage.⁹
😬😬asee na bibi angepigwa na mkwe wake yani baba wa mtoto..kweli tunasafari ndefu sana.Aisee... ingekuwa hapa bongo huyo tunfesema amebebwa msukule na bibi yake halafu bibi yake angepigwa na kitu kizito kichwani na kufa...
Halafu police itasema haiamini ushirikina kwa hiyo kesi inaishia hapo....😬😬asee na bibi angepigwa na mkwe wake yani baba wa mtoto..kweli tunasafari ndefu sana.
Ova..!Halafu police itasema haiamini ushirikina kwa hiyo kesi inaishia hapo....
Kwa sababu serikali imeonesha kujali raia wake.... ingekuwa hapa tz hicho kisima lazima kingekuwa cha maji na sasa maji yangeendelea kutumika huku tukiamini mtoto amachukuliwa msukule..... JISHTUKIE.Why has this news taken the global media!??
Amefariki toka jana baada ya kuokolewa acha uongo.
masaa matatu gani?
Si kweli...Kwa sababu serikali imeonesha kujali raia wake.... ingekuwa hapa tz hicho kisima lazima kingekuwa cha maji na sasa maji yangeendelea kutumika huku tukiamini mtoto amachukuliwa msukule..... JISHTUKIE.
kweli bongo tunao uchawi tu na hatujui kuutumia...kitu tunajua kukitumia vizuri ni fitina na majunguKwa sababu serikali imeonesha kujali raia wake.... ingekuwa hapa tz hicho kisima lazima kingekuwa cha maji na sasa maji yangeendelea kutumika huku tukiamini mtoto amachukuliwa msukule..... JISHTUKIE.
ukweli ni upi au utasema ni kiki.Si kweli...
Why has this news taken the global media!??
😥😥Hii habari inahuzunisha I can feel his parents
ukweli ni upi au utasema ni kiki.
BBC tu hao na propaganda zao... Wakivutiwa tu na vinews basi..Matukio kama haya huwa yanapewa nafasi kubwa sana kwenye jamii na duniani kote
Rejea mwaka 1987 huko Texas kuna msichana mdogo wa miezi 18 alitumbukia kwenye shimo dogo ila refu sana
Duniani ilikuwa kila news imo tangu wanaanza rescue mpaka wanamaliza
Jessica MacClue Morales her name
Mpaka documentary yake ipo
Hapa amekuwa mkubwa karibu na shimo View attachment 2109998
Kwaiyo we ulitaka wavutiwe na hizi habari za watoto kuchomana kisu kisa kuchunga mifugo? na kwan BBC tu ndo walikuwa wanafatilia huu mkasa? acha chuki zako mpaka kweny matatizo..BBC tu hao na propaganda zao... Wakivutiwa tu na vinews basi..
My condolences to the King, the family and the whole entire MoroccansRayan: Mvulana wa Morocco aliyetumbukia kisimani afariki
Saa 3 zilizopita
![]()
CHANZO CHA PICHA,EPA
Maelezo ya picha,
Wazazi wa Rayan wakiondoka eneo la tukio baada ya mwili wa mtoto wao wa kiume kupelekwa kwa ambilansi
Mvulana mwenye umri wa miaka mitano aliyeanguka kwenye kisima kirefu kwa siku nne amefariki, licha ya juhudi za kumuokoa.
Taarifa ya ufalme wa Morocco ilitangaza kifo mara ya baada ya mvulana huyo kuondolewa kwenye shimo.
Juhudi za kumuokoa mvulana huyo, anayeitwa Rayan, zilifuatiliwa kote nchini, huku mamia ya watu wakikusanyika kwenye shimo na maelfu zaidi wakifuatilia shuguli ya uokozi ,kupitia mtandao.
Mvulana huyo alitumbukia katika iisma cha urefu wa mita 32 (futi104) , licha ya kwamba shimo hilo lilikuwa jembamba . Uokoaji ulitatizwa na hofu ya kuporomoka kwa ardhi juu ya shimo hilo.
Hatimaye waokoaji walimeta nje mvulana Jumamosi jioni.
Hakuna taarifa iliyotolewa kuhusu hali yake wakati huo, na uokoaji huo ulishangiliwa na umati wa watu.
Kwenye mitandao ya kijamii, watu walitumia msema wa alama ya leri- hashtag #SaveRayan,ambayo imekuwa ikisambaa kote nchini humo na nje ya mipaka ya nchi hiyo, huku watu wakielezea kufurahishwakuokolewa kwa mvulana huyo.
Lakini iligeuka kuwa dakika za kuvugunja moyo wakati taarifa ilipotangazwa kwamba Rayan alifariki.
Watumiani wa Twitter baadaye walianza kutoa salama zao za rambirambi na kuelezea huzuni kwa kutumia alama sawa ya leri.
"Kufuatia ajali ya mtoto Rayan Oram, Mfalme Mohammed VI aliwaita wazazi wamvulana aliyefariki baada ya kutumbukia ndani ya shimo " taarifa ya kasri ya rais ilisema.
Siku ya Jumamosi, vyombo vya habari viliripoti kwamba waokoaji walikuwa mita 1.8 kutoka alipokuwa mvulana huyo.
"Tumekaribia," mmoja wa viongozi wa operesheni hiyo, Abdesalam Makoudi, alisema Ijumaa mchana.
"Tumekuwa tukifanya kazi bila kukoma kwa siku tatu na uchovu unaanza, lakini timu nzima ya uokoaji bado iko hapa inaendelea na kazi."
Wakiongozwa na Kurugenzi ya Ulinzi wa Raia wa Morocco, shughuli za uokoaji katika mji mdogo wa kaskazini wa Tamorot, karibu kilomita 100 (maili 62) kutoka mji wa Chefchaouen, zilianza tangu Jumanne jioni.
Barabara zinazozunguka mji huo zilijaa magari na mabasi, huku maelfu wakishangilia waokoaji katika eneo la tukio.
![]()
CHANZO CHA PICHA,AFP
Maelezo ya picha,
Watu walikusanyika kutazama shughuli ya kumuokoa kijana hiyo inavyoendelea siku ya Jumamosi
'Sijalala kabisa'
Baba yake Rayan alikuwa akitengeneza kisima wakati wa ajali hiyo inatokea, na alisema yeye na mama yake Rayan walikuwa "wamefadhaika na wenye wasiwasi mwingi."
"Katika muda huo, nilikuwa nimeondoa macho yangu kwake kidogo tu, nahapo ndipo alipoanguka kisimani. Sijafumba hata jicho tangu mwanangu alipotumbukia," aliambia tovuti ya habari ya le360 siku ya Jumatano.
Akiongea na vyombo vya habari vya Morocco huku akibubujikwa na machozi, mama yake Rayan alisema: "Familia nzima ilitoka kumtafuta. Kisha tukagundua kuwa alikuwa ameanguka chini ya kisima. Bado nina matumaini kwamba tutampata akiwa hai."
Picha za Alhamisi kutoka kwa kamera iliyoshushwa kisimani zilionyesha kuwa mvulana huyo alikuwa hai na ana fahamu, ingawa alionekana kuwa na majeraha madogo kichwani.
Wafanyakazi wa uokoaji wameshusha barakoa ya oksijeni, chakula na maji ndani ya kisima na timu ya matibabu pia iko kwenye eneo la tukio, tayari kumtibu mvulana huyo.
Helikopta pia imefika eneo la tukio ili kumpeleka hospitali mara baada ya kutolewa kutoka kisimani.
......
SIJUI INGEKUWAJE HAPA NYUMBANI KWETU NAONA NI KAMA KABURI LINGEWEKWA KWA JUU TU..
View attachment 2109968
View attachment 2109969
View attachment 2109972
View attachment 2109973
BBC tu hao na propaganda zao... Wakivutiwa tu na vinews basi..