Mtoto Rayan aliyetumbukia kwenye kisima huko Morocco amefariki dunia

Mtoto Rayan aliyetumbukia kwenye kisima huko Morocco amefariki dunia

Watanzania wajinga sana, tunapenda kutukuza vya wenzetu kuliko nyetu, sasa habari hii ni kubwa mpaka kuandika maneno meengi wakati hapa nchini kila kona ya nchi unasikia taarifa za kuuana lakini hamna mwandishi anayesogea kufanya uchunguzi au hata wahusika kufanya coverage.⁹
Acha kujipumbaza wewe.... INGEKUWA TANZANIA HATA MAITI ISINGEONEKANA....
 
Nimewahurumia hao wazazi [emoji22]
 
Back
Top Bottom