Mtoto Rayan aliyetumbukia kwenye kisima huko Morocco amefariki dunia

Watanzania wajinga sana, tunapenda kutukuza vya wenzetu kuliko nyetu, sasa habari hii ni kubwa mpaka kuandika maneno meengi wakati hapa nchini kila kona ya nchi unasikia taarifa za kuuana lakini hamna mwandishi anayesogea kufanya uchunguzi au hata wahusika kufanya coverage.⁹
 
umejuaje kwamba watu wanauwana kama sio kupitia vyombo vya habari? tukio limeleta hisia jinsi uokowaji ulivyo fanyika.
 
Aisee... ingekuwa hapa bongo huyo tunfesema amebebwa msukule na bibi yake halafu bibi yake angepigwa na kitu kizito kichwani na kufa...
😬😬asee na bibi angepigwa na mkwe wake yani baba wa mtoto..kweli tunasafari ndefu sana.
 
Kwa sababu serikali imeonesha kujali raia wake.... ingekuwa hapa tz hicho kisima lazima kingekuwa cha maji na sasa maji yangeendelea kutumika huku tukiamini mtoto amachukuliwa msukule..... JISHTUKIE.
Si kweli...
 
Kwa sababu serikali imeonesha kujali raia wake.... ingekuwa hapa tz hicho kisima lazima kingekuwa cha maji na sasa maji yangeendelea kutumika huku tukiamini mtoto amachukuliwa msukule..... JISHTUKIE.
kweli bongo tunao uchawi tu na hatujui kuutumia...kitu tunajua kukitumia vizuri ni fitina na majungu
 
Why has this news taken the global media!??

Matukio kama haya huwa yanapewa nafasi kubwa sana kwenye jamii na duniani kote

Rejea mwaka 1987 huko Texas kuna msichana mdogo wa miezi 18 alitumbukia kwenye shimo dogo ila refu sana
Duniani ilikuwa kila news imo tangu wanaanza rescue mpaka wanamaliza
Jessica MacClue Morales her name

Mpaka documentary yake ipo

Hapa amekuwa mkubwa karibu na shimo
 
ukweli ni upi au utasema ni kiki.
BBC tu hao na propaganda zao... Wakivutiwa tu na vinews basi..
 
BBC tu hao na propaganda zao... Wakivutiwa tu na vinews basi..
Kwaiyo we ulitaka wavutiwe na hizi habari za watoto kuchomana kisu kisa kuchunga mifugo? na kwan BBC tu ndo walikuwa wanafatilia huu mkasa? acha chuki zako mpaka kweny matatizo..
 
My condolences to the King, the family and the whole entire Moroccans
 
BBC tu hao na propaganda zao... Wakivutiwa tu na vinews basi..

Na hii ya Morocco ni bbc
Halafu propaganda za nini kwa mtoto alietumbukia kwenye shimo?
Ili iweje na wanapata nini au hiyo documentary waliotengeneza na kupata hela?

Ila ina fundisho kubwa na walivyohangaika mpaka kumtoa

Lakini sioni ubaya wowote wao kufanya hivyo kwa kuokoa watu

Sasa angalia RIVER YALA FLOATING BODIES huko Kenya kwenye YouTube ndio utajua tuna utofauti
Watch that
Unapenda za hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…