MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Kwani kuzaa ni lazima kama kula??Mkuu kuna watu wamepambana lakini anafika 35 bado ramani hazisomi,
Tuje kwa wanawake wengi wao wakifika 35+ wanapata changamoto sana kujifungua salama,
Sasa watu wote wakisubiri wawe vizuri financially kuna uwezekano mpaka wanafika 50 wakawa hawana financial freedom
Acha watu waishi maisha yao
Kuna watu hawajafanikiwa kuwa na uwezo wa kifedha ila wanapenda kuwa na watoto na via vya uzazi vinafanya kazi unataka kuwapangia?Kwani kuzaa ni lazima kama kula??
ufe bila kuzaa? Utachomwa mduksi/mbunye wakati unazikwa. Kuzaa ni lazima, labda kama una matatizo ya uzazi au ni mtawaKwani kuzaa ni lazima kama kula??
Hapa sijakuelewa unazungumzia mitumba gani kwanza? Ungeelezea vizuri na zingatia umesema mtoto wa miezi kadhaa maana najua unazungumzia ndani ya miezi 12 ya mwanzo sio zaidi ya mwaka mmojamtoto wa miezi kadhaa kashaanza kuvishwa mitumba