Mtoto wa 2000 kaniambia nimezubaa sana. Kauli yake sijaipenda kabisa!

Mtoto wa 2000 kaniambia nimezubaa sana. Kauli yake sijaipenda kabisa!

Magical power

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2022
Posts
2,158
Reaction score
5,626
Habari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana.

Apo kwanza ngoja nicheke.

Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine ni kabinti ka 2000. Alivyofika, kakawa kananichekea chekea. Baadaye, mshikaji akamtongoza na akachukua namba za simu za mshikaji.

Baadaye, mchana huu, ameshuka kutoka ghorofani akaja kukaa nilipo kaa mimi. Pembeni kuna mshikaji wangu ambaye alimtongoza asubuhi.

Sasa tukawa tunapiga story, kakawa kananiambia eti mimi nimezubaa sana.

Ila ile namba ya mshikaji aliyomwandikia kwenye karatasi ameipiga chini, maana alimwambia jamaa ana simu. Alitaka kunipa simu nimwandikie namba, ila akawa anamwogopa mshikaji.

Ila ile kauli yake sijaipenda kabisa.
 
Habari wakuu,apa ngoja niwape true story but fup ila inachekesha sana😂😂
Apo kwanza ngoja nncheke😂😂😂😂😂.

Leo asubui mazingira ya asubui Kuna mabint wawili wamekuja kazini,mmoja mama K mwingine ndo kabinti ka 2000 alivyo fika kakawa kananichekea chekea baadae mshikaj akamtongoza kakachukua no za sim za mshikaj baadae mchana huu ameshuka kutoka gorofan kakaja kukaa nilipo Kaa mm pemben Kuna mshikaj wangu ambae alimtongoza asubui,Sasa tukawa tunapiga story kakawa kananiambia eti mm nimezubaa sana😂😂😂😂 ila Ile no ya mshikaj aliyo mwandikia Kwa karatasi ameitupa mana alimwambia jamaa ana sim,alitaka kunipa sim nimwandikie namba ila akawa anamwoga mshikaj 😂😂😂😂
Ila Ile kauli yake sijaipendaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂
bado nipo ghorofa ya juu kuna kazi namalizia waambie wanisubir nazawadi yao
 
Back
Top Bottom