Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
- Thread starter
- #41
Kiaje yaaani 🤷🏽♂️😂😂Sasa ulitaka akudanganye?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiaje yaaani 🤷🏽♂️😂😂Sasa ulitaka akudanganye?
Anaongea udoko mtupuAisee hata sijaelewa,labda unitafsirie
Muone uyu Nae anaongea utumbo 😂😂Mko sawa tu akili zenu sema umri ndio tofauti
Wewe n mashavuBora yeye wa 2000, wee ni wa 2010.
Mxxxxiiiieeeew.
Kameogopa kutoa no mbele ya mshikaj Alie mtongoza asubuiAcha kuzubaa sasa chukua hiyo namba
Acha ujinga mkuu😂😂Kwa huu muandiko kweli umezubaa
Si ndio 😂😂😂Unaleta swagga za mtoto kautaka.
Uyo mwalimu nae naruka naeKijana wangu Magical power kumbe ukiacha kwenda shule ndo unakuja kufungua nyuzi humu JF.
Ngoja niongee na waalimu wako waone wakupe adhabu gani.
Kasome kwanza, elimu ni ufunguo wa maishaUyo mwalimu nae naruka nae
Unaleta udokoMbona na wewe kama wa 2000.
Nisha soma mkuu now nipo kitengo na vitoto vya 2000😂Kasome kwanza, elimu ni ufunguo wa maisha
Kameniudh Sasa kwann apokee no ya mtu ambaye aja mwelewa alafu anatoka uko anakuja nambia eti Ile no ya jamaa nimeitupa uko😂😂 mm Ina niusu nn mkuuIla mtoa mada itakua umezubaa kweli kwaio ungemwambia sijapenda unakuja kutuambia uku ili tujue umekutana na wa 2000🤧😹
Hapana ni Paji la uso.Wewe n mashavu
Mashavu uyooooooo 😂😂Hapana ni Paji la uso.
Thubutuuu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mashavu uyooooooo [emoji23][emoji23]