Mtoto wa 2000 kaniambia nimezubaa sana. Kauli yake sijaipenda kabisa!

Habari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana.

Apo kwanza ngoja nicheke.

Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine ni kabinti ka 2000. Alivyofika, kakawa kananichekea chekea. Baadaye, mshikaji akamtongoza na akachukua namba za simu za mshikaji.

Baadaye, mchana huu, ameshuka kutoka ghorofani akaja kukaa nilipo kaa mimi. Pembeni kuna mshikaji wangu ambaye alimtongoza asubuhi.

Sasa tukawa tunapiga story, kakawa kananiambia eti mimi nimezubaa sana.

Ila ile namba ya mshikaji aliyomwandikia kwenye karatasi ameipiga chini, maana alimwambia jamaa ana simu. Alitaka kunipa simu nimwandikie namba, ila akawa anamwogopa mshikaji.

Ila ile kauli yake sijaipenda kabisa.
Sasa kama umezubaa ulitaka asikwambie ukweli.
Acha kuzubaa mtoto wa kiume.
 
Hatar hyooo
 
Una

Una miaka mingapi kwani tuanzie hapo
 
Back
Top Bottom