Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,697
- 15,497
We chukua moja tu la jamaa kazubaaNimetoka kapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We chukua moja tu la jamaa kazubaaNimetoka kapa!
Unataka nipae na ungo kutoka sumbawanga 😹Sasa bila kuja utakulaje
Na posho ukala mwenyew khee😹Basi acha kumanguka mkuu 😂😂😂 mie nishakula shavu ni kiposho changu kila mwisho wa mwez
Si ndio 😂😂😂 kalibu bas Tule woteNa posho ukala mwenyew khee😹
Uko si ndo penyewe nawe 😂😂Unataka nipae na ungo kutoka sumbawanga 😹
😏SitakSi ndio 😂😂😂 kalibu bas Tule wote
Aya njoo Kwa wafipa😹😹Uko si ndo penyewe nawe 😂😂
Mapema apoAya njoo Kwa wafipa😹😹
Tenah😏Sitak
Asa nije wapi mbinguni au 😹Tenah
Wap njo mahome boy apa tubanjuke😂😂Asa nije wapi mbinguni au 😹
Alafu kama Ina kitu hii🤔🤔mitego ya sikukuu hiyo...kua makini
Alafu kama Ina kitu hii
🤧Ngoja nilale mie naona sielew siku ya leoWap njo mahome boy apa tubanjuke😂😂
Nn shida🤧Ngoja nilale mie naona sielew siku ya leo
Wacha🤔😂😂Umaskini tu asa unawaza nn akati utaongezea ujue ni hasara umepata
Nn shida
Ndio asa nn unataka atumie Nan viposho vyakoWacha🤔😂😂
Umezubaa sana kapige mpini hako fastaHabari wakuu, apa ngoja niwape true story but fupi ila inachekesha sana.
Apo kwanza ngoja nicheke.
Leo asubuhi, mazingira ya asubuhi, kuna mabinti wawili wamekuja kazini. Mmoja mama K, mwingine ni kabinti ka 2000. Alivyofika, kakawa kananichekea chekea. Baadaye, mshikaji akamtongoza na akachukua namba za simu za mshikaji.
Baadaye, mchana huu, ameshuka kutoka ghorofani akaja kukaa nilipo kaa mimi. Pembeni kuna mshikaji wangu ambaye alimtongoza asubuhi.
Sasa tukawa tunapiga story, kakawa kananiambia eti mimi nimezubaa sana.
Ila ile namba ya mshikaji aliyomwandikia kwenye karatasi ameipiga chini, maana alimwambia jamaa ana simu. Alitaka kunipa simu nimwandikie namba, ila akawa anamwogopa mshikaji.
Ila ile kauli yake sijaipenda kabisa.