Mtoto wa 2000 kaniambia nimezubaa sana. Kauli yake sijaipenda kabisa!

Habari wakuu,apa ngoja niwape true story but fup ila inachekesha sana😂😂
Apo kwanza ngoja nncheke😂😂😂😂😂.

Leo asubui mazingira ya asubui Kuna mabint wawili wamekuja kazini,mmoja mama K mwingine ndo kabinti ka 2000 alivyo fika kakawa kananichekea chekea baadae mshikaj akamtongoza kakachukua no za sim za mshikaj baadae mchana huu ameshuka kutoka gorofan kakaja kukaa nilipo Kaa mm pemben Kuna mshikaj wangu ambae alimtongoza asubui,Sasa tukawa tunapiga story kakawa kananiambia eti mm nimezubaa sana😂😂😂😂 ila Ile no ya mshikaj aliyo mwandikia Kwa karatasi ameitupa mana alimwambia jamaa ana sim,alitaka kunipa sim nimwandikie namba ila akawa anamwoga mshikaj 😂😂😂😂
Ila Ile kauli yake sijaipendaaaaaaaaaaaa😂😂😂😂
Nimesoma mpaka mwisho...shida sio story...tatizo ni haya ndo yamejaa kichwani kwako?

Ok change your mind...change your company...maisha yako speed sana

Soma au upe ubongo wako mambo mengi mazuri...otherwise akili yako itawaza hayo hayo kila siku...dou you have a family...kama Huna mpango wako nini?

Learn to be a responsible man

Have a good day
 
Kajaza upupu kichwani, na yeye ni mtoto wa 2000
 
Nimesoma mpaka mwisho...shida sio story...tatizo ni haya ndo yamejaa kichwani kwako?

Ok change your mind...change your company...maisha yako speed sana

Soma au upe ubongo wako mambo mengi mazuri...otherwise akili yako itawaza hayo hayo kila siku...dou you have a family...kama Huna mpango wako nini?

Learn to be a responsible man

Have a good day
Mbona makarisiko 😂😂
 
Back
Top Bottom