Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Kuna ule msemo unasema kuna watu wanaishi na wengine wamekuja kusindikiza wanaoishi.. Yawezekana kukawa na ukweli ndani yake. Mtoto wa miaka miwili (2) wa Rapper wa kimarekani 50 Cent anayeitwa "Curtis James Jackson III" kalipwa $700,000 (1.4 Billion kwa pesa madafu) sura yake kuwa brand ya Kampuni ya headphone za watoto inayojulikana kama Kidz safe.
Tunapoongelea Real Hustlers and Real Entrepreneurs 50 Cent is a real deal.. Huyu jamaa namweka hata mbele ya Pdidy na Jay Z kwa kuweza kuyasaka manoti, ukisoma hata kile kitabu chake cha "50th Law" utaweza kuona jamaa ni mtu wa aina gani. He is focused and very smart business person, anajuwa ku-negotiate, anajuwa kujibrand, anajuwa kutumia his fan base kupiga pesa na kila kitu..
Alisikika kwenye wimbo wake mmoja akiimba "have baby by me, baby be a millionaire" and yes he proved that.. Mtoto wake wa miaka miwili tayari sasa anaukaribia U millionare tena kwa kutengeneza mkwanja wake mwenyewe na sio ule anaodepositiwa na dingi yake.. Na dingi kasema mkwanja umewekwa kwenye account maalumu na hataugusa mpaka akifikisha miaka 18. Imagine dogo akifika huko atakuwa tayari na pesa ngapi teh teh
Hint: Kama tayari umejaaliwa mtoto, unahakikishaje mtoto wako unamjengea maisha bora ya baadae?? utahakikishaje unamkuza kwenye njia shahili?? Mtoto wako ana kipaji gani?? Je, una mpa support yeyote ya hicho kipaji alichonacho?? Kama bado hujapata mtoto, umejipangaje?? Je unataka kuwa mzazi bora wa watoto wako?
Pitia na hapa=> 44 Proven Ideas Parents Can Use to Help Their Children Do Better in School