Mtoto wa 50 Cent apiga $700,000

Mtoto wa 50 Cent apiga $700,000

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5,936
Reaction score
4,707
Kuna ule msemo unasema kuna watu wanaishi na wengine wamekuja kusindikiza wanaoishi.. Yawezekana kukawa na ukweli ndani yake. Mtoto wa miaka miwili (2) wa Rapper wa kimarekani 50 Cent anayeitwa "Curtis James Jackson III" kalipwa $700,000 (1.4 Billion kwa pesa madafu) sura yake kuwa brand ya Kampuni ya headphone za watoto inayojulikana kama Kidz safe.

Tunapoongelea Real Hustlers and Real Entrepreneurs 50 Cent is a real deal.. Huyu jamaa namweka hata mbele ya Pdidy na Jay Z kwa kuweza kuyasaka manoti, ukisoma hata kile kitabu chake cha "50th Law" utaweza kuona jamaa ni mtu wa aina gani. He is focused and very smart business person, anajuwa ku-negotiate, anajuwa kujibrand, anajuwa kutumia his fan base kupiga pesa na kila kitu..

Alisikika kwenye wimbo wake mmoja akiimba "have baby by me, baby be a millionaire" and yes he proved that.. Mtoto wake wa miaka miwili tayari sasa anaukaribia U millionare tena kwa kutengeneza mkwanja wake mwenyewe na sio ule anaodepositiwa na dingi yake.. Na dingi kasema mkwanja umewekwa kwenye account maalumu na hataugusa mpaka akifikisha miaka 18. Imagine dogo akifika huko atakuwa tayari na pesa ngapi teh teh

Hint: Kama tayari umejaaliwa mtoto, unahakikishaje mtoto wako unamjengea maisha bora ya baadae?? utahakikishaje unamkuza kwenye njia shahili?? Mtoto wako ana kipaji gani?? Je, una mpa support yeyote ya hicho kipaji alichonacho?? Kama bado hujapata mtoto, umejipangaje?? Je unataka kuwa mzazi bora wa watoto wako?

Pitia na hapa=>
44 Proven Ideas Parents Can Use to Help Their Children Do Better in School

F1.jpg F2.png
 
Katoto kazuuuri mashallah! Umenikumbusha wimbo wa baby by me naupenda acha kabisa.
Hasa Ne-Yo anavyolalamika na mzee mzima 50 anavyomwagika!

Haya bwana ngoja tujifunze na sisi.
 
Katoto kazuuuri mashallah! Umenikumbusha wimbo wa baby by me naupenda acha kabisa.
Hasa Ne-Yo anavyolalamika na mzee mzima 50 anavyomwagika!

Haya bwana ngoja tujifunze na sisi.

Aaaahh naupenda sana huu wimbo.. Na nimependa zaidi jinsi alivyoprove his words
 
Katoto kazuuuri mashallah! Umenikumbusha wimbo wa baby by me naupenda acha kabisa.
Hasa Ne-Yo anavyolalamika na mzee mzima 50 anavyomwagika!

Haya bwana ngoja tujifunze na sisi.

Hiyo toy anayoendesha ni sawa na starlet yako
 
Mtoto wa 50 cent ni kazuri mno mwenye nacho ataongezewa kikubwa ni kuanza kuweka pesa hata kidogo dogo kwa watoto wetu.
 
Uko sawa but usirudie kumlinganisha 50 Cent na Pdiddy/Jay z, wale wanaligi yao wenyewe ni kama ambavyo hutakiwi kuwafananisha wachezaji wengine wa mpira na Ronaldo/Messi kwa miaka hii
 
hahahahaha Mengi is my role model kwahiyo kwa hilo usijari..

Ili mradi usinifukuze tu nikija..

itategemea umekuja kujaje
ukija na lamboghrni ntakupa hadi shikamooo mkwe...!!
shoping dubai nkatae wanangu wanitukane....
 
Uko sawa but usirudie kumlinganisha 50 Cent na Pdiddy/Jay z, wale wanaligi yao wenyewe ni kama ambavyo hutakiwi kuwafananisha wachezaji wengine wa mpira na Ronaldo/Messi kwa miaka hii

50 was raised from ghetto and make his own fortune.. I admire him for that although Didy and Jay are richer than him..

Diddy isn't an inspiration at all, kwanza karithi tu from Bad Boyz ya BIG na hiyo Ciroc basi.. 50 Cent ndio inspiration kwa vijana wengi wa hood pale New York
 
itategemea umekuja kujaje
ukija na lamboghrni ntakupa hadi shikamooo mkwe...!!
shoping dubai nkatae wanangu wanitukane....

Basi mkwe ngoja tupambane huku mjini.. Hapo nyumbani andaa sehemu ya kutua Helicopter tu nikija kutoa mahari.. teh teh
 
Back
Top Bottom