SAWA KAKA USIWE unaosikilizwa KILA unacho ambiwa unaweka akilini unashangaa kwa manula USHA muona mtoto WA sheta yule qayra mkuu?Hii mada tumeshaijadili sana, huyu ni mtoto wa dada yake.
Dada ake alikua Hana uwezo wa kumsomesha ndipo mjomba akajitwisha jukumu Hilo.
Hufatilii mambo kijana wetu.
Kaka yule qayra ndio kwanza yupo form one hajafika hata 15 yrs, pia qayra tunamjua vzr tu.SAWA KAKA USIWE unaosikilizwa KILA unacho ambiwa unaweka akilini unashangaa kwa manula USHA muona mtoto WA sheta yule qayra mkuu?
Kwishaaaa
Kaka usha muona umbo lake kalivo panda hewani? Sheta anazidiwa urefu mara hii tu HUYO mtoto ni wajuzi TU hapa, KAWAIDA huyo ilipaswa awe hata na aibu ya kusimama MBELE za WATU lakini NDO kwanza, miconfidence kibaoKaka yule qayra ndio kwanza yupo form one hajafika hata 15 yrs, pia qayra tunamjua vzr tu.
Hivyo unafikiri umepata mkwe au nini maana yako?Huyu BINTI inasemekana ni mtoto WA Aishi manual asee mboga safi kabisa respect to you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏manula sipunde UNAENDA kuitwa Babu
Kwishaaaaaa
HApana mkuu hii ni elimu kuona ni jinsi GANI kusomesha SIO wazee TU hata vijana wanaweza. SEMA TU ni ufinyu wetu wa kufikiri na kuchanganua mambo, hii inatokana na kuharibika kisaikolijoa KILA SAA siasa. Komenti Yako TU imeonesha akili inaweza Nini masaa YOTEKwa style mama haitaji hata kugawa baiskel wala kampeni anajichosha tu
Elimu muhimu nashangaa watu wanaibeza elimuHapana Nimeshangazwa na uwezo WA YEYE kusomesha HADI chuo ILI HALI WATU WAZIMA jina wamekimbia majukumu TU yakuhudumia mboga
Kwishaaa
ngono saa saba mchana, siku ya kaz???Nipo ghetto kuna watu wanafanya mapenzi mpk nahisi wivu naskia papapaaaah