Mtoto wa Aunty azua zengwe, hafanani na Moze Iyobo

Mtoto wa Aunty azua zengwe, hafanani na Moze Iyobo

Rangi ya mtoto utaijua baada ya miezi sita, sasa hv bado anarangi ya ughaibuni.
 
Moso alikuwa mlezi wa mimba ya nyarandu .

Mi nadhani mama hasingiziwi mimba..........mpaka sasa nshasikia wababa 3 wa huyo mtoto........ila ukweli anaujua mamake.........
 
''Cookie Lapri - Center'' :confused2::confused2::confused2:
 
''Cookie Lapri - Center'' :confused2::confused2::confused2:
Ulimbukeni mwingine! Ndo jina gani hilo sasa kwa mbantu? Jina kama katuni au mbwa wa kizungu!Ujinga ujinga tu. Pumbavu!
 
Na jina kachagua mama, Mose anabaki mume "hewala mama"
 
Umbea, fitina , majungu ndo shughuli zetu mjini hapa
 
Back
Top Bottom