Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Kweli kila mtu na mapenzi yake na uono wake,,,kagari hako hata Mil.20 nisingenunua, labda ingekuwa May Bach, Ferrari Enzo n.k

Nina mawazo kama yko bt anyway tunatofautiana kwel kwa kupenda na kuangalia
 
Huko NAIVASHA KENYA niliona magari la miaka ya hamsini yakiwa katika hali nzuri utadhani yanatoka kiwandani yakiuzwa kati ya USD150000 na Usd 200000.Kweli ni mazuri na yanavutia
 
Hiyo Gari Ni Brabus Marcedez Benz G-Class.Tena Inaonekana Ni Ya Mtumba.Haiendi Kwa Bei Hyo.Imezidi Sana Unaweza Kuipat Kwa $114k Au Chini Ya Apo.Na Gari Yenyewe Ni Ya Kawaida Sana.Na Inaweza Kushika #9 Katika Luxurious Large SUVs
 
View attachment 115838View attachment 115839View attachment 115840View attachment 115841View attachment 115842View attachment 115843View attachment 115844
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili??

Source:BongoClan™ : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!

hiv mwanaume unapata wapi ujasiri wa kuzungumzia mafanikio ya wanaume wenzio huoni aibu ilihali wewe huna hata baiskeli na tena unasifia etii nomaaaa!!!
 
Watu washapiga hapo. Ni sawa wazungu wanavyowapiga changa la macho waarabu wa Dubai na Abu Dhabi wanaambiwa gari imenyunyiziwa mavumbi ya gold, waarabu kwa ujinga!
 
View attachment 115838View attachment 115839View attachment 115840View attachment 115841View attachment 115842View attachment 115843View attachment 115844
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili??

Source:BongoClan™ : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!
Halina mvuto lipo kama trecta sjawah kupenda harmer shape vogue type n lamborgn ndio mpango mzma
 
kwa raha zake hata maandiko yanasema mwenye nacho huongezewa
 
Komba alikua na Nyumba ngapi??. Hizo mbwembe tu, alafu usipoambiwa kwamba ni order special wala huwezi kujua. ingekua oda spesho may be ingekua inapaa juu sawa. hilo la kawaida
 
View attachment 115838View attachment 115839View attachment 115840View attachment 115841View attachment 115842View attachment 115843View attachment 115844
Mtoto wa Baakhresa Kaleta gari special edition yenye thamani ya us 500,000/ sasa sijui kuna ukweli juu ya hili??

Source:BongoClan™ : TAZAMA PICHA ZA GARI LA SH. MILIONI 805 LINALOMILIKIWA NA MTOTO WA BAKHRESA AMBALO LIMEKUJA KWA ODA MAALUM..!!

hii nayo sasa inaitwaje?? mbona kama tinga tinga zile za kuchimba bara bara??
 
Cjui kama lina ubora alivutii bora angenunua haya velosa lina sura
 
Kwa bei ya magari ya showroom yasiyozidi million kumi jamaa anaendesha bonge la show room la magari
 
hiv mwanaume unapata wapi ujasiri wa kuzungumzia mafanikio ya wanaume wenzio huoni aibu ilihali wewe huna hata baiskeli na tena unasifia etii nomaaaa!!!
Mkuu acha wivu wa kike!Watu maarufu wanaongelewa kila kukicha...ndo maana kuna Forbes magazine acha umburula na wivu wa kishoga kwa wanaume wenziyo!
 
Wacha nichangie hivi! huu uzi umejaa mapovuuuu! yakitulia nitarudi.
 
Mkuu acha wivu wa kike!Watu maarufu wanaongelewa kila kukicha...ndo maana kuna Forbes magazine acha umburula na wivu wa kishoga kwa wanaume wenziyo!

mkuu forbes wamatengenezq hela kwa kuwaandika na kuongelea watu maarufu je wewe unaingiza sh ngap
 
wewe je huwa unasoma habari za watu maarufu? kama unasoma zinakusaidia nini? kama husomi ni poa tu, wacha wanaotaka kusoma wasome. na je wewe unafaidika nini kuisoma thread hii?
 
Back
Top Bottom