Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa upande wang naona zile mil.805 alizotoa mtt wa bakhresa kwa ajil ya kunnua gar la kutembelea angetoa angalau mil.50 kuchangia maskin na mil.50 akatoa kwny kambi ya maalbino bc Mwenyezi Mungu asingemsahau daima ila m2 anatoa kias kikubwa cha pesa il kunnua mashne yenye matail manne tena wkt kuna bnadam kama yy inapta wik hawajashka ht buku
Hiyo ni kwa mtazamo wako mkuu.Ina maana ww umemuona mtoto wa bakhresa tu?vp kuhusu viongozi wa nchi.kuna watu mpk wanakwambia mil 10 ni pesa ya mboga.
Kwa upande wang naona zile mil.805 alizotoa mtt wa bakhresa kwa ajil ya kunnua gar la kutembelea angetoa angalau mil.50 kuchangia maskin na mil.50 akatoa kwny kambi ya maalbino bc Mwenyezi Mungu asingemsahau daima ila m2 anatoa kias kikubwa cha pesa il kunnua mashne yenye matail manne tena wkt kuna bnadam kama yy inapta wik hawajashka ht buku
Kwa upande wang naona zile mil.805 alizotoa mtt wa bakhresa kwa ajil ya kunnua gar la kutembelea angetoa angalau mil.50 kuchangia maskin na mil.50 akatoa kwny kambi ya maalbino bc Mwenyezi Mungu asingemsahau daima ila m2 anatoa kias kikubwa cha pesa il kunnua mashne yenye matail manne tena wkt kuna bnadam kama yy inapta wik hawajashka ht buku
Kwani hata kama hajatoa yeye ni nani hadi ampangie jamaa maisha?Unajuaje hajatoa?
Kwani hata kama hajatoa yeye ni nani hadi ampangie jamaa maisha?
Pia kuna mtu anawaza ile laki nane uliyotoa kununua flat screen ya samsung, ungenunua ya laki na nusu ya chogo nyingine ukapelekea watoto yatima na nyingine ukachangia kambi ya wazee.Kwa upande wang naona zile mil.805 alizotoa mtt wa bakhresa kwa ajil ya kunnua gar la kutembelea angetoa angalau mil.50 kuchangia maskin na mil.50 akatoa kwny kambi ya maalbino bc Mwenyezi Mungu asingemsahau daima ila m2 anatoa kias kikubwa cha pesa il kunnua mashne yenye matail manne tena wkt kuna bnadam kama yy inapta wik hawajashka ht buku
Usilalamike mkuu ni sawa na kununua tv flat ya laki nane wakati zipo chogo za elf tisini au ukanunua samsung galaxy s6 wakati ipo huawei ya laki na ishirini.Siwashangai nyie mnaniulza maswal ya ajab na wengne mnatoa kejel maana kila anae onesha kutetea hak za wa2 anaonekana mbea,muongo&mshenz ila kama una akil timam huwez kutoa mil.800 kunnua gar wkt ht gar la mil 80 lipo au hlo gar alonnua anapewa na mke
Hiyo Gari Ni Brabus Marcedez Benz G-Class.Tena Inaonekana Ni Ya Mtumba.Haiendi Kwa Bei Hyo.Imezidi Sana Unaweza Kuipat Kwa $114k Au Chini Ya Apo.Na Gari Yenyewe Ni Ya Kawaida Sana.Na Inaweza Kushika #9 Katika Luxurious Large SUVs