Mtoto wa Bakhressa noma, gari $500,000

Imeandikwa special edition for YUSUF BAKHRESA, yani dunia nzima hakuna mwenye gari kama hilo, limetengena kwa ajili yake tuu, kwa vigezo vyake tuu, huyo ndio BRABUS ambayo akiichoka ataiuza used ulaya! Hiki ndicho kinachoipa thamani hii gari nje iko simple lakini Ione hivyohivyo ni habari nyingine kabisa kuanzia unyayoni mpaka roof
Let him do it after all maisha yenyewe ni hayahaya kama ana uwezo na nafasi ya kufanya hivyo its alright alimradi tu hajawakwaza wengine kwa namna yeyote ile
 
Kwa upande wang naona zile mil.805 alizotoa mtt wa bakhresa kwa ajil ya kunnua gar la kutembelea angetoa angalau mil.50 kuchangia maskin na mil.50 akatoa kwny kambi ya maalbino bc Mwenyezi Mungu asingemsahau daima ila m2 anatoa kias kikubwa cha pesa il kunnua mashne yenye matail manne tena wkt kuna bnadam kama yy inapta wik hawajashka ht buku
 
Hiyo ni kwa mtazamo wako mkuu.Ina maana ww umemuona mtoto wa bakhresa tu?vp kuhusu viongozi wa nchi.kuna watu mpk wanakwambia mil 10 ni pesa ya mboga.
 
mkuu i hope we ni ke? maana ukiwa me afu unafatilia budget ya me mwenzako unatupa mashaka!
we umetoa sh ngap kwa maskini? maana ata mia 5 ni msaada pia,tuanzie hapo
 

Akili za mende hizi sasa! ww unampangia mtu pesa zake azitumie vipi na wew tafuta uwasaidie watoto yatima! Na umejuaje kama hatoi misaada kwa wasiojiweza? au unataka aonekane kwenye media na magazet ya udaku ndiyo roho yako izuhusike?
 
Hiyo yako ni roho mbaya na choyo, unasema mwenzio wewe mwisho lini ulikwenda hata kufagia Kwenye nyumba Ya ibada? Wachilia mbali kutoa hela japo nguvu na jasho wapi ulitoa kama sadaka? Usitake kujitia dhambi zisizo kua Za lazima, kabla hujamsema mwenzio kwanza jitazame wewe msafii?
 
Hiyo ni kwa mtazamo wako mkuu.Ina maana ww umemuona mtoto wa bakhresa tu?vp kuhusu viongozi wa nchi.kuna watu mpk wanakwambia mil 10 ni pesa ya mboga.


Kutoa ni moyo si utajiri mkumbuke yule mwanamke mjane aliyetoa dina ri wale matajiri walitoa fedha nyingi lakini yule mjane ndie alionekana kutoa kikubwa kuliko wale matajiri kwa vile alitoa vyote alivyokuwa navyo.
 

Unajuaje hajatoa?
 
Kwani hata kama hajatoa yeye ni nani hadi ampangie jamaa maisha?

Hilo nilishalifikiria.

Lakini kabla hatujafika huko nikataka kujua kama anajua akaunti zake zote zinavyokwenda na anavyotoa.

Maana kaandika kama jamaa hajatoa.

Ndiyo maana nikauliza, anajuaje kwamba jamaa hajatoa?

Bakhresa kila sikukuu ya Kiislamu watu wanapanga foleni kwake kuchukua hela, hivyo si ajabu ikawa kawafundisha wanawe kutoa zaka.

Watu wengine badala ya kutafuta hela zao hawaishi kukodolea macho hela za wenzao.
 
Siwashangai nyie mnaniulza maswal ya ajab na wengne mnatoa kejel maana kila anae onesha kutetea hak za wa2 anaonekana mbea,muongo&mshenz ila kama una akil timam huwez kutoa mil.800 kunnua gar wkt ht gar la mil 80 lipo au hlo gar alonnua anapewa na mke
 
Pia kuna mtu anawaza ile laki nane uliyotoa kununua flat screen ya samsung, ungenunua ya laki na nusu ya chogo nyingine ukapelekea watoto yatima na nyingine ukachangia kambi ya wazee.
Hata laki nane kununulia TV kuna wanao ona ni kifuru kwa hiyo extravagance haina kipimo inategemea tu ni nani anaongea
 
Usilalamike mkuu ni sawa na kununua tv flat ya laki nane wakati zipo chogo za elf tisini au ukanunua samsung galaxy s6 wakati ipo huawei ya laki na ishirini.
Huoni hata anayefanya hivyo anakosea?
We waweza ona ni matumizi mabaya ya pesa lakini the more you earn more money the more tastes zako zinavyo badilika utajikuta hutamano tumia nivea ya buku tano wataka perfume ya kelvin klein ya laki 2.
 
Hiyo Gari Ni Brabus Marcedez Benz G-Class.Tena Inaonekana Ni Ya Mtumba.Haiendi Kwa Bei Hyo.Imezidi Sana Unaweza Kuipat Kwa $114k Au Chini Ya Apo.Na Gari Yenyewe Ni Ya Kawaida Sana.Na Inaweza Kushika #9 Katika Luxurious Large SUVs

ingia website ya brabus hii gari ni approximately 500K-550K kaka
 

Haya mawazo ya kimasikini sana. Nani kakwambia hasaidii masikini? Unataka muda wote akae anawazia masikini asifanye yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…