Mtoto wa Castodickson ameharibika sana

Mtoto wa Castodickson ameharibika sana

hance bwana " Habari pila picture hauji kuwa inakuwa haina vitamins ...

by the way mtoto wa nyoka ni nyoka mkuu

huyo casto mwenyew hamna kitu mule .
 
Castro mwenyewe ana akili za Dr Shika aka Zero Brain ni wazi anacheza 30-33 sasa huyo mtoto wa miaka 16 kamtoa wapi? inamaana alimpata huyo mtoto akiwa na miaka 16? kama ndio basi maji hufata mkondo,kama yeye alianza ushenzi akiwa below 18 mwache na huyo so called mtoto wake afanye UTOM JELLY wake.
 
Dick Son!? Hili jina linatakiwa kufanyiwa maombi.
 
Huyo castro dickson ndo nani na anajishughulisha na nini?,

Maana imebidi niulize tu sababu tangu mwanzo wa uzi sijaona picha
 
Huyu jamaa Castodickson nitamlaumu milele kwa kumuacha mtoto wake mpaka kaharibika kitabia kwa kuiga mambo ya kiume ume na mbaya zaidi baba yake anamtazama tu.

Casto ana mtoto anaitwa Fatuma au yeye anapenda kujiita FT huyu binti ameharibika haswaaa yani ni tom boy mpaka kapitiliza , huwezi amini ni msichana lakini cha ajabu na yeye ana mademu zake na ukitaka kugombana naye umuite hilo jina la Fatuma au umuite demu aisee mtagombana na damu lazima zivuje hapo.

Huyu mtoto anakula sana bange na ana umri mdogo sana ,yupo kwenye 16-19 hivi lakini mambo anayoyafanya yanasikitisha sana.

Walio karibu na Casto wamwambie amuokoe mapema mtoto wake lasivyo kuna mabaya zaidi yatamkumba na aombe sana mtoto wake asijiingize katika matumizi ya madawa ya kulevya.
Mwanzo ulinitukanaga mno nilipokua naleta story za udaku humu

Huwezi kuwa "gentlemen" mmbeya hivi
 
Hance wa tunda umesahau kuweka picha ya Fatuma Castor Dickson
 
Back
Top Bottom