Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo casto kwani wewe unamuona yupo sawa?Walio karibu na Casto wamwambie amuokoe mapema mtoto wake lasivyo kuna mabaya zaidi yatamkumba na aombe sana mtoto wake asijiingize katika matumizi ya madawa ya kule
Mwambie Tunda amfikishie ujumbe! Hahahahaha
Mkuu tunda yuko arusha ndio mko nae?Casto hataki huyu mtoto ajulikane na watu kwa sababu ameharibika sana
Mwanzo ulinitukanaga mno nilipokua naleta story za udaku humuHuyu jamaa Castodickson nitamlaumu milele kwa kumuacha mtoto wake mpaka kaharibika kitabia kwa kuiga mambo ya kiume ume na mbaya zaidi baba yake anamtazama tu.
Casto ana mtoto anaitwa Fatuma au yeye anapenda kujiita FT huyu binti ameharibika haswaaa yani ni tom boy mpaka kapitiliza , huwezi amini ni msichana lakini cha ajabu na yeye ana mademu zake na ukitaka kugombana naye umuite hilo jina la Fatuma au umuite demu aisee mtagombana na damu lazima zivuje hapo.
Huyu mtoto anakula sana bange na ana umri mdogo sana ,yupo kwenye 16-19 hivi lakini mambo anayoyafanya yanasikitisha sana.
Walio karibu na Casto wamwambie amuokoe mapema mtoto wake lasivyo kuna mabaya zaidi yatamkumba na aombe sana mtoto wake asijiingize katika matumizi ya madawa ya kulevya.
Wee mrembo upo?Mwanzo ulinitukanaga mno nilipokua naleta story za udaku humu
Huwezi kuwa "gentlemen" mmbeya hivi