Kwa sasa anafanya kazi SNgoja tuone Sheila atafika wapi, Hivi Sheila yuko Morogoro na anaishi Morogoro?
Tanzania ilikuwa Jamhuri na kukataa vyeo vya kurithishana, ila kwa sasa tumerudisha uchifu kwa aina tofauti tu.Kumbe Lucy aliamua kufuata nyayo za mama yake!
Anaishi Dar Dom huko ni kwenda kuchukua cheo na kurudi townNgoja tuone Sheila atafika wapi, Hivi Sheila yuko Morogoro na anaishi Morogoro?
Wanasema "ccm ina wenyewe"Tanzania ilikuwa Jamhuri na kukataa vyeo vya kurithishana, ila kwa sasa tumerudisha uchifu kwa aina tofauti tu.
Kila mtoto wa mbunge anataka kuwa mbunge.
Sahivi veo ni vya urithi mkuuTanzania ilikuwa Jamhuri na kukataa vyeo vya kurithishana, ila kwa sasa tumerudisha uchifu kwa aina tofauti tu.
Kila mtoto wa mbunge anataka kuwa mbunge.
Yani mpaka Haji Janguo anataka kuwa mbunge? 😂😂😂Sahivi veo ni vya urithi mkuu
Mfumo ni wa kishetani snYani mpaka Haji Janguo anataka kuwa mbunge? 😂😂😂
Ndio sehemu pekee kipato kizuri, mali zako zinakuwa salama na deals zako nyingine haramu ni mwendo wa kupiga simu tu.Tanzania ilikuwa Jamhuri na kukataa vyeo vya kurithishana, ila kwa sasa tumerudisha uchifu kwa aina tofauti tu.
Kila mtoto wa mbunge anataka kuwa mbunge.
kabisaSahivi veo ni vya urithi mkuu
Kama tapeli lissu alivokuja kuchukua uwenyekiti wake,kisha anarudi ubelgijiAnaishi Dar Dom huko ni kwenda kuchukua cheo na kurudi town
Kama tapeli lissu alivokuja kuchukua uwenyekiti wake,kisha anarudi ubelgiji
Kwani ni uongo lissu anaishi ubelgiji,bongo yupo sababu ya ucheamani tuuWewe Kuna kitu Lissu alikufanyia sio kila mara unamtaja kuliko Mwenyekiti wako Samiah.
Kaka yake bado dc kule liwale?Kwa sasa anafanya kazi S
Dodoma, familia na mqkazi yake yapo Morogoro
Mpaka tuamke kutoka usingizini siyo leo wala keshokabisa
UWT nasikia posho zenu zimetokaKama tapeli lissu alivokuja kuchukua uwenyekiti wake,kisha anarudi ubelgiji