Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 6,076
- 15,685
Bwana Goodluck Milinga, aliomba Diamond Platnumz ajengewe Sanamu PostaYule kaka yake aliyekuwa kama Teja bungeni aliishia wapi?
Bwana Goodluck Milinga, aliomba Diamond Platnumz ajengewe Sanamu PostaYule kaka yake aliyekuwa kama Teja bungeni aliishia wapi?
Posho tu,jengeni chama chenu vizuri,sisi posho ni baada ya kazi,nyie nyumbu mnakula za join the chain.UWT nasikia posho zenu zimetoka
UWT kuna uniform zenu zipo kwa GSM mzikumbukeMnawaza
Posho tu,jengeni chama chenu vizuri,sisi posho ni baada ya kazi,nyie nyumbu mnakula za join the chain.
Changia tonetone lissu akitoka kale bata ubelgijiUWT kuna uniform zenu zipo kwa GSM mzikumbuke
YapChangia tonetone lissu akitoka kale bata ubelgiji
Lisu pia alimuweka dada yake tumbo moja kuwa mbunge viti maalumu Chadema na yeye wakati akiwa mbunge na mwanasheria mkuu wa ChademaTanzania ilikuwa Jamhuri na kukataa vyeo vya kurithishana, ila kwa sasa tumerudisha uchifu kwa aina tofauti tu.
Kila mtoto wa mbunge anataka kuwa mbunge.