Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Mtoto wa Charles Kimei afunga ndoa Jijini Dar. Kweli mjini pesa shikamoo kelele

Kwa akili yako labda umeona afisa wa benki amefahamu naweza kufanyaje ili niwalize. Kwa usilolijua siku hizi kuna system mpya inayohusiana na mikopo inaingiliana na mabenki yote Tanzania,
yani niweke bond nyumba ya zaidi ya mil 200 nikimbie na milioni 100, nianze kutafutwa dukani kila siku na kupigwa ban ya kukopa benki yoyote Tanzania. Ndo mana mnalalamika CRDB kumejaa Wachagga waacheni aisee hilo kabila limetupita mbali kwa maono. Tukubali tu
Unafikiri watu wa bank ni wageni na wenye maduka? Benki kibao zimelizwa na wenye maduka hasa Kariakoo
 
Kwa akili yako labda umeona afisa wa benki amefahamu naweza kufanyaje ili niwalize. Kwa usilolijua siku hizi kuna system mpya inayohusiana na mikopo inaingiliana na mabenki yote Tanzania,
yani niweke bond nyumba ya zaidi ya mil 200 nikimbie na milioni 100, nianze kutafutwa dukani kila siku na kupigwa ban ya kukopa benki yoyote Tanzania. Ndo mana mnalalamika CRDB kumejaa Wachagga waacheni aisee hilo kabila limetupita mbali kwa maono. Tukubali tu
Ungekuwa na akili wasingekunyima hizo 100m. Wewe unafikiri ukiwa na kamtaji kako ka 60m ndio tiketi ya kupewa 100m. Kuna taratibu kama unajiona una akili timiza utapewa hio hela au ungekuwa na akili zaidi ungekuza kimtaji chako.
 
Ungekuwa na akili wasingekunyima hizo 100m. Wewe unafikiri ukiwa na kamtaji kako ka 60m ndio tiketi ya kupewa 100m. Kuna taratibu kama unajiona una akili timiza utapewa hio hela au ungekuwa na akili zaidi ungekuza kimtaji chako.
You nailed it.
 
Hongereni wachaga kwa kuikuza bank ya CRDB. Ulitaka aajiri wacheza mdundiko? Unapotaka kufanikiwa unatafuta like mind people. Kuna kipindi enzi za kusaka kazi kuna kampuni ya kimataifa ilikuwa inaajiri. Ilipofika nchini iliingia na philosofia ya kuajiri watu wa kaskazini kwa kuwa waliambiwa toka kwao kuwa hiyo kanda ndiyo chapakazi. I tell you zile challenging positions zote walipewa wachagga wakapiga kazi mpaka wengine walipelekwa branches za nchi nyingine. Hata walipokuwa wameshikilia maeneo kama TRA mambo yalikuwa safi. Wanaitafuta pesa wanakula na kuhakikisha kuwa wanaendeleza taasisi. Si kama wenzangu na mimi akipata nafasi ni kula tu na kuongeza nyumba ndogo mwishowe kampuni au shirika linakufa. Angalia pensheni funds. Hivi kwrli kila mwezi unapokea michango ya mabilioni halafu unafilisika unashindwa hata kulipa mafao? Stupid

Kuna wengi wame ijenga CRDB dont forget Kibonde Sineor alikuwa ni Mnyakyusa
 
Hivi lini ignorance itaisha miongoni mwetu sisi watanzania? Mwenye hii comment unaonekana una kila dalili ya chuki na ukabila, yeyote anaetukuza ukabila na kufanya justification juu ya hilo hasa kwenye hadhara kama hapa hatufai Kwenye jamii.

Uchapakazi, weledi, juhudi na kiu ya maendeleo haina ukabila,dini, rangi au vyovyote vile, bali hii hutokana na silika, kariba, uthubutu na kujituma kwa mtu mwenyewe, anaweza kuwa unatoka kabila lolote lile, au dini yeyote ile nk. Na pia kinyume chake, wapo wachaga walevi na masikini pia, lakini pia wapo wachaga wavivu, na hii ina kuwa applied kwa makabila, dini, na watu wa aina zote.

Mimi sitetei uvivu wa jamii fulani bali natetea utanzania na uhalisia wa mambo yalivyo. Nakushangaa mtoa post unapodhihaki jamii ya watu wa pwani hasa ukiwalenga wazaramo ( "wacheza mdundiko") kuwa ni wavivu wakti kuna waziri ni mzaliwa wa Uzaramuni kabisa Kwala-Samvula Chole (Jaffo Seleiman) anaongoza wizara yake kwa weledi wa hali ya juu kbs pengine kuliko hata baadhi ya mawaziri wengine wanaotoka bara, au kaskazini nk.

CRDB kuna wachaga wengi, kama watu wanavyodai, Yes, inawezekana kutokana na sababu fln fln, lkn uchaga wao siyo uliowapeleka pale, bali walikidhi vigezo. Mtu wa kundi fln anaenda ngomani, Yes, tumthamini pia, kwani ana play part fln mhm kwenye kutunza na kuthamini mila, desturi na tamaduni zetu. La muhimu zaidi yatupasa kujua ni kuwa, maisha lazima yawe balanced, hatuwezi wote kuwa tunafanana kwa kila kitu.

Hitimisho langu ni kwamba, tuwe na deal na mtu kama mtu juu ya uweledi au udhaifu wake, na siyo kufanya mambo ya ku generalize kuhusisha makabila, nk.

Adios!
Nimekupata. Hapa sikudhamiria ukabila kabisa ujue hivyo kwanza. Nimezingatia reality na sector ya bank. Bahati mbaya tuangalie proffessions zinazotakiwa kwenye taasisi zenye kutumia hesabu, medical etc. Yapo makabila ambayo ni mazuri kwenye maeneo hayo na wachagga huwakosi. Mkuu ninaomba kabisa nuondie kwenye ukanda na ukabila kama ilivyoshamiri kwa sasa kiasi kwamba akiamka muasisi wa taifa hili atazimia na na kufa na kuomba kabisa asifufuke tena siku ya mwisho. Ninaamini umenielewa.
 
Kuna wengi wame ijenga CRDB dont forget Kibonde Sineor alikuwa ni Mnyakyusa
There you are. Pale CRDB wapo pia makabila mengine hasa kutoka mkoa wa Mbeya. Na mengine tu. Na ieleweke kuwa Kimei sidhani kama ndiyo anafanya interview zote. Kuna levels. Na nyingi huwa ana contract out na wanaopata ndiyo wanaopigwa vita kila kukicha.
 
Mimi Kimeo simpendi kwa legacy yake ya ukabila pale crdb. Kuajiri 80% ya wafanyakazi kutoka kaskazini kwenye nchi yenye makabila zaidi ya 120 hana cha kumpongeza.
Ukitaka kujua tabia za wachaga wakipewa madaraka nenda CRDB. Hawa jamaa siku wakishika madaraka makubwa serikalini kama vile urais wanaweza kuleta machafuko makubwa sana kwa sababu ya ukabila.
 
Bila shaka hujapata kumfahamu Kasie.
Wakati niko mschana miaka hiyoo ndo nimemaliza chuo, kuna kijana mmoja wa kichaga alinipenda sana (rejea uzi wa kwa nini wanaume wa kanda ya kaskazini wamekuwa sehemu kubwa ya mahusiano yangu). Huyu alikuwa mtafutaji mnoo aliijua hela tangu yuko chuo, hakutokea kwenye familia yenye hela ila alizitengeneza hela zake mwenyewe. Alikuwa na nyumba tayari, usafiri ndo alikuwa ameagiza, alinitambulisha hadi kwa mama yake mzazi na alikuwa anataka kunioa. Tangu siku ya kwanza aliniambia anataka mahusiano ya uchumba na si ugelofrendi na uboifrendi, ila sikumpenda na nikasema nikikubali kuolewa nae ntam chiti na ndoa haitakuwa na amani. Siku namwambia mimi siwezi kuwa na wewe,alilia hadi kamasi zikamtoka ila hata sikuwa na huruma sababu sikuwaza maumivu yake ya wakati huo, niliwaza ya baadae. Na aliumia sana maana nilikuwa nahimili mishindo yake.....

With Kasie, It's not about wachaga it's not about money...

It's about soul, passion and love...

It's all about Dadii as he is the package I treasure.

Mmmuuuahh to Dadiii.

Matata K.
Hongera Sana, ulifanya vizuri
 
Sijawahi kuona maaskofu wa RC wanafungisha ndoa chilia Mbali maaskofu kadhaa kukusanyika kufungisha ndoa kwa RC sijawahi ona sijui ni kwanini.
Sasa ndugu yangu upo Nanyumbu ndani ndani huko hao Maaskofu utawaonea wapi? Vitu vingine in bora kunyamaza tu
 
Back
Top Bottom