Wewe kipindi hicho ulifaa uitwe konki master.Mimi nilikuwa nafua saa kumi na moja alfajiri siku ya kufungua shule. Zinakaukia njiani.
Vipi wewe?Kwa kweli wengi mlikuwa hivihivi, labda mmesahau tu, shukrani kwa wazazi kuwapush
Hongera!Mimi nilikuwa smart sijisifii kwa kweli natayarisha na za wadogo zangu,you know first borns mara nyingi hubeba mzigo kama punda..