Mtoto wa Darasa la 6 kanishangaza sana

Mtoto wa Darasa la 6 kanishangaza sana

Umemshangaa dogo au umewashangaa wazazi wake?
 
Mbona sioni cha kufurahisha, hao ndio wale wenyewe wanaita taifa la kesho.

Hao ndio watakua viongozi, hao ndio wabunifu, hao ndio watakuwa mateja hao ndio kila kitu.

Kwa hali hiyo wale wanaitwa mabeberu wataendelea kuendelea, na sisi tutaendelea kubaki hapa tulipo.

Mimi nitanwita mjinga japo makosa ni ya wazazi wake na jamii iliyomzunguka. Kila kitu kinaanzia chini.
 
Kuna wengine walikuwa wanasema shule ndo Basi tena hazipo tena milele.
 
Kwa kweli wengi mlikuwa hivihivi, labda mmesahau tu, shukrani kwa wazazi kuwapush
 
Mbona wengine tulikuwa tunaamka saa nane usiku ndo tunafua..😅
Kusoma kipaji ndugu
 
Back
Top Bottom