Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Nenda kwa udaku Tz uone wema na zari wanapeana za uso sijui wameanzia wapi nimekuta hivo
Chaumbea mimi nimeshapata mkanda wote,sijui nianzishie uzi?
Aaah najisikia uvivu.
Ila Zari ndio mwenye matatizo.....
Uchokozi kaanza yeye.
 
ImageUploadedByJamiiForums1453209946.381596.jpg
Ada izo ni uwezo wako tu hamna longo longo mwanangu yuko kindergarten hapo anaeweza kujipinda aende nae...
 
Back
Top Bottom