Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Hii thread nimecheka afu itakua source ni yeye mwenyewe, nmecheka part ya wema na jokate kwenda kuwatafutia watoto wa kiba nafasi lol
halafu eti wakaambiwa ubalozi wa tembo unamtosha...hahahahahaaa sio kwa ujungu huu wa mleta mada.
 
Laiti mngemuelewa mtoa mada wala msingeanza kuleta maelezo marefuu yasiyo na msingi
Mi nimemuelewa sana... anakabiliwa na kaugonjwa ka Alikibaism.... kama si hako ka ugonjwa basi atakuwa mchepuko wa AliKiba uliopigwa chini... yani mambo flani ya wivu na ukisasi wa kike

Mtoto wa Diamond kupata ubalozi wa shule kuna uhusiano gani na Ali Kiba??

Hivi Evelyn Salt kashachangia hii chai maharage?
 
Nimechangia nimevutiwa mie pia nitaenda kutafuta nafasi hapo hiyo shule ya IST sijui Toyota hapo hapo tu umeelewa
 
KICHEKESHO ATI WATU WANA TALK OVER A DAUGHTER OF......
SUNGUMSIENI JUU YA WATOTO WENU PUMB..........!
ii
 
Anzisha mada ya kumchafua Wema Sepetu. Nasikia alikunyang'anya buzi lako
Naskia simu ya samatta imekutwa na 9 missed calls na 1 received call zote hizo ni za wema sepetu ha ha ha
 
kwa hizi anaweza akamudu bila ubalozi maana alidai kwa shoo anatoza sh mil 10

Capture.PNG

source:https://www.istafrica.com/uploaded/...14-15/Fee_Schedule_Guidelines_SY_2014-15a.pdf
 
Na hiyo shule haina haja ya kujitangaza, eti sijui ubalozi au nini...

Wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza... Kama Diamond atampeleka hapo huyo mtoto basi atamlipia ada na si kwamba atamsomesha bure...

After all, Diamond is irrelevant kwa watu ambao wanapeleka watoto hapo... Sidhani kama Mengi, Manji, Mafuruki, Dewji, Mabalozi na Wafanyabiashara wakubwa hapa mjini watapeleka watoto hapo eti sababu tu Mtoto wa Diamond anasoma...
Sidhani kama mtoa mada amejihangaisha kufika huku kote wakati anacreate scene!! Kwakifupi umemuova dose
 
Inawezekana ngoja tuone asee natafuta mtu Mwenye uelewa Wa uchimbaji Wa madini kuhusu utaratibu oko je mkuu ili uweze kuwekeza plz naomba tuwasiliane tunaitaji kufungua copuny 0766090956
 
Inawezekana ngoja tuone asee natafuta mtu Mwenye uelewa Wa uchimbaji Wa madini kuhusu utaratibu oko je mkuu ili uweze kuwekeza plz naomba tuwasiliane tunaitaji kufungua copuny 0766090956
huo msaada uloomba ebu peleka kule jukwaa la biashara na uchumi,hapa sio pahala pake,utapotezwa aise!
 
Back
Top Bottom