Mtoto wa Diamond (Tiffah), apata dili jipya la kusoma bure

Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.

Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN

Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna
 
Chai mbona watu kibao wa familia tofauti na hizo waTz wamesoma hapo?maneno ya vijiwen Hayo
 
Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.

Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN

Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna
Mkuu wako wengi tu wanaosoma hapo... Si kweli kwamba Watanzania ni Bakhressa, Rostam na huyo Mangi pekee ndiye mwenye watoto hapo...
 
Na hiyo shule haina haja ya kujitangaza, eti sijui ubalozi au nini...

Wanasema kizuri chajiuza kibaya chajitembeza... Kama Diamond atampeleka hapo huyo mtoto basi atamlipia ada na si kwamba atamsomesha bure...

After all, Diamond is irrelevant kwa watu ambao wanapeleka watoto hapo... Sidhani kama Mengi, Manji, Mafuruki, Dewji, Mabalozi na Wafanyabiashara wakubwa hapa mjini watapeleka watoto hapo eti sababu tu Mtoto wa Diamond anasoma...

mkuu unapenda ligi za mchangani!?
 
Kweli wewe ni MSAGA SUMU, hii sumu ulomwaga hapa imeshindwa kuwaua wanaJF hata kuwalewesha, haya mkuu njoo na Sumu kivingine.

Hahjahahahhahahahhahahaha nimecheka hapo kwamba sanne wanakula burger na wanasoma kwa kengele za umeme, yani unabonyeza tuu.
 
Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.

Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN

Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna

Mkuu unajua maana ya kuwa balozi.?

Kama kiba ni balozi wa tembo' ya nini kuwa mbishi Tiffah Kuwa balozi wa shule hiyo?
 
Jamani labda ni shule mpya, muulizeni vizuri mleta maada kuliko kumshambulia kumbe shule ndiyo hiyo hiyo ya TIS!
 
Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.

Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN

Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna
Mkuu kama hujui kitu ni bora unyamaze tu. Kuna wabongo wengi tu wamesoma IST na nina uhakika sasa hivi pia wapo. Shule hio sio wanadiplomasia tu kuna watu wa aina mbalimbali wageni na wenyeji.
 
Sidhani kama mtoa mada anaijua shule ya IST (International School Tanganyika)...? Kwanza hiyo shule ni kwa ajili ya watoto wa wanadiplomasi tu, shule iyo ilikuwa na watoto kutoka familia 3 ambao ni watanzania. Kuna mtoto wa Bharessa, watoto wa Rastom Azizi (walikuwa hapo, baada ya ile kashfa akawahamisha), pia na kuan mangi mmoja yupo Zimbabwe anasomesha watoto wake hapo.

Criteria za kusomesha mtoto
1. Lazima uwapatie bank statement, ili wawe na uhakiki hutosumbua ada na michango mingine
2. Bank account iwe na kuanzi bilion 15 na kuendelea
3. Uwe mtoto wa Balozi, au mwambata ndani ya ubalozi husika, au mfanyakazi wa UN

Huyo Tiffah hapo awezi kanyaga, wala hiyo shule haina utamaduni wa kujitangaza, na ukienda pale kuna watoto kibao...mpaka nafasi hakuna
Usitake kutupiga kamba na wewe bwana watu kibao wanasomesha na wamesomesha watoto wao hapo na sio mabalozi hapo ni hela yako I know some of them !
Wewe mwenyewe ukiwa na mpunga wakutosha unasomesha tu
 
Laiti mngemuelewa mtoa mada wala msingeanza kuleta maelezo marefuu yasiyo na msingi
 
Back
Top Bottom