Mtoto wa Elon Musk aliyebadili jinsia na kuwa binti, ataka kubadili jina kuepuka uhusiano na baba yake

Unapata wapi guts za kusema umepoteza heshima kwa binadamu ambaye hata hakufahamu?
Sababu mimi namfahamu na ni inspirational figure kwenye jamii sio lazima anifahamu.

Kwanza kwanini unajali?
 
Hapo ndipo utaamini pesa/mali sio kila kitu ktk dunia. Mtoto anamkataa baba tajiri na hawezi kuja kuwa mrithi
 
Huyu ana laana 2:
1. Kumdharau na kumkosoa Mungu aliyemuumba mwanaume!
2. Kumkana mzazi aliyemleta duniani na kumlea mpaka akajitambua!
 
Si muda mrefu tunafkia huko Mana tushapoteza ID yetu ... Wanaposema wanawake Ni wengi washapiga hesabu kuwa Kuna njemba hazitamaliza maisha zikiwa njemba 😂😂
 
Kwa tupoenda Ifike wakati wazazi wakipata mtoto wa kike wajivunie na kuwa na raha ya kuendeleza kizazi kama ilivyo kwa wa kiume.

Kwa sasa kikwazo ni majina ya uzao wa watoto wa kike. Siku hili likibadilika na kuwa mtoto wa kike ni kawaida kuzaa na kumpa jina lake la ukoo mwanae hapo shughuli ya kushangilia mtoto wa kiume kwa wazazi itakuwa imekwisha maana kushangilia kule hakuna kingine zaidi ya muendelezo wa jina/Ukoo.

Au wabebe majina manne ya pande zote, Mfano Amilia Charles Mziray Mwakyosi. Hapo Charles Mziray likiwa la baba na Mwakyosi la ukoo wa mama.
 
Matajiri wa huko hawanaga shida, hasa hao watoto wao shida hawana kabisa.

Sasa ili kuzipata basi ni lazima wazitafute kwa namna hiyo.
 
Yaaani badala ya kutumia pesa ya baba kugonga warembo yeye ajiweka tobo
Astaghafilurah:-[[emoji24]
Hata nyie ni zamu yenu kugongwa.
Mmewagonga warembo sana.
[emoji1787][emoji1787][emoji74][emoji74]
 
Kwa ufupi Wazungu ni mashetani! Hivi hao wanaobadilishwa jinsia ni kweli zinafanana na zile zilizoundwa na Mungu mwenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…