Mtoto wa Freeman Mbowe (Nicole) aachiwa na Jeshi la Polisi

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Nicole ameonekana nje ya Kituo cha Polisi cha Oysterbay akiwa na Mama yake Mzazi (Mke wa Mbowe), Lilian Mtei pamoja na Wakili Peter Kibatala ambapo hata hivyo hakuweza kufanya mahojiano na Wanahabari kuelezea kilichotokea hadi kuachiliwa kwake.

Mapema leo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne katika mkutano na Waandishi wa Habari alipoulizwa kuhusu kushikiliwa kwa Mtoto huyo, alisema hayumo katika orodha ya Watu 14 waliokamatwa leo katika sakata la maandamano ya September 23.

Mbowe Nicole.jpg
-
 
Sijui kuna tatizo gani huko polisi. Na Rais ana angalia tuu. Haoni kama wana mharibia..
 
Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024.

Nicole ameonekana nje ya Kituo cha Polisi cha Oysterbay akiwa na Mama yake Mzazi (Mke wa Mbowe), Lilian Mtei pamoja na Wakili Peter Kibatala ambapo hata hivyo hakuweza kufanya mahojiano na Wanahabari kuelezea kilichotokea hadi kuachiliwa kwake.

Mapema leo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne katika mkutano na Waandishi wa Habari alipoulizwa kuhusu kushikiliwa kwa Mtoto huyo, alisema hayumo katika orodha ya Watu 14 waliokamatwa leo katika sakata la maandamano ya September 23.

alikua anaandamana au alikua anaenda shule 🐒
 
tumeanza kuchafuka ile mbaya:

Police acheni kunyanyasa vyama vya upinzani.
 
Ni jambo jema. Labda mwanzo walimchukua kwa usalama asitekwe baada ya kumtenganisha na baba yake. Naamini Polisi watawaachia na hao wengine wote maana walikuwa kwenye maombolezo.
 
Nicole Mbowe ambaye ni Mtoto wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, ameachiwa huru na Polisi ikiwa ni zaidi ya saa mbili toka alipokamatwa maeneo ya Magomeni Mapipa Jijini Dar es salaam leo September 23,2024.

- LIVE - Yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

Nicole ameonekana nje ya Kituo cha Polisi cha Oysterbay akiwa na Mama yake Mzazi (Mke wa Mbowe), Lilian Mtei pamoja na Wakili Peter Kibatala ambapo hata hivyo hakuweza kufanya mahojiano na Wanahabari kuelezea kilichotokea hadi kuachiliwa kwake.

Mapema leo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne katika mkutano na Waandishi wa Habari alipoulizwa kuhusu kushikiliwa kwa Mtoto huyo, alisema hayumo katika orodha ya Watu 14 waliokamatwa leo katika sakata la maandamano ya September 23.

-
Baba alimwaribu huyu mtoto ,anayo macho kama ya baba yake aisee ,hata hivyo anayo sura nzuri
 
Back
Top Bottom