Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia watendaji hao wa vijana ngazi ya wilaya katika shughuli zao.hii ni kwa kutambua kuwa jumuiya hiyo ndiyo injini na moyo wa chama na tanuri la kuwapika viongozi mbalimbali wazalendo, wachapakazi, waadilifu na wenye moyo wa kujitoa na kujitolea kwa chama na serikali.
Ndio maana binti huyu Mbichi ameamua kuwa sehemu ya kuijenga na kuipa nguvu UVCCM.ikumbukwe UVCCM itajengwa na wenye moyo na siyo wenye tamaa na uroho wa madaraka na vyeo
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.