Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chapa kazi wewe acha uvivu wako na kuishi kama hayawani.
Kidumu chama tawala

Mimi nimekuuliza kwa mfuko upi, sasa linahusiana nini na mimi kufanya kazi na kuacha kuishi kama hayawani kama unavyodai?
 
Ulitaka ziwe ngapi? Wewe umetoa misaada gani katika jamii inayokuzunguka?
kaa chini kwanza vuta pumzi ndeefu kwa pua kisha zitoe kwa mdomo halafu kunywa glass moja ya maji baridi huku ukiendelea kutafakari post yangu ya juu

# Kuelekea uchaguzi mkuu 2025
 
Kwa mtu mwenye akili timamu, anaejitambua, na mwenye familia hawezi kushangilia huu ujinga. Huyo anarudisha pesa za walipa kodi zilizokwapuliwa na mwenda zake enzi za uhai wake. Km unabisha, eleza chanzo cha fedha alizonunilia hizo pikipiki. Tusifurahie pale manyang'au yanaporejesha pesa za wanyonge kwa mkono wa nyuma.

Tatizo wapumbavu ni wengi sana Tz kuliko wajinga. Yani mtu unafrahia kupewa zawadi yenye thamani ya mamilion ya pesa wakati mtu huyo hana kazi ya kumpatia pesa hiyo. Ukiwa mwanaume unatakiwa ufikiri kabla ya kuongea, vinginevyo utakuwa hauna utofauti na mchepuko.
 
Jesca ana biashara gani za kumwaga hizi pikipiki au zile pesa za plea bargain zilizofichwa kwenye masanduku na jambazi katili dictator anaeteseka motoni mwendazake?
 
Hao wanaopata zero au 4 ya mwisho daresani wanapendwa sana na ccm πŸ˜„ 🀣 πŸ˜‚ eg Daudi Albert Bashite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…