Pre GE2025 Mtoto wa Hayati Magufuli, Jesca Magufuli amwaga Pikipiki kwa UVCCM Mkoa mzima wa Geita

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tatizo la Jesca ni kwamba kichwani ni mweupe sana.

Waabeja geete Jesika. Bebe uberile geeete . Banhu bapandikalaga ma pikipili ga kweta milimo na mashuguli. Jesika arena moyo waaape gete. Bise boswe tukutogire geeete,
 
Muaminifu huwa anaruhusu demokrasi ili vyombo vya habari vimhoji wizi wake. Jpm hakutaka kabida kiwa na uhuru wa habari kwa sababu anajua alichokuwa anafanya. Trasparency ndo inaondoa ukakasi kana anavyofanya mama
 
Piki piki 5 bado mnapiga picha za kuzitangaza mitandaoni? Kuna yule dogo aligawa box moja la ream paper kwa uvccm
UVCCM wenyewe wametoa nini maana ni pokepokea tu, ingependeza wakajikusanya nchi nzima watoe kitu
 
SAHIHI, Baba yake aliacha HANDAKI la mapesa ya kigeni mchanganyiko.
 
Magufuli angefanya hivi kweli!? Huyu kapata hizi kutoka kwa kiongozi wa mafisadi Tanzania SSH!
Jesca panga la Mungu laja Jiandae
 
Lucas Mwashambwa umeanza kua Kama lile Bumunda lililotoa Siri za chama baada ya kunywa rubisi.
Mambo yenu ya aibu msiyaweke hadharani.
Hii kitu ilimkost Bumunda na hata wewe unaweza kukosa hizo buku Saba unazopewa za vocha na kununulia msabe na kimpumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…