Mtoto wa Jackie Chan amuoa mwanamke mwenzie

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.
Inst-image-5.jpeg
 
Halafu mtoto wenyewe ni mmoja tu, ingekuwa anawatoto 6 au 7 poa tu.
 
Awa kawii sikia ni muvi ila poah ingekua ni mtoto wake yule wa kiume ingekua shida haya ndo matokeo ya kukipenda sana kitu chako au mtt wako shida tayari hapo mtt mdg ila ameoza akili cjui ndo kampeni yenyewe ya ushoga mbele
 
Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.View attachment 947804
Ina maana Jackie Chan asahau kuitwa Bibi !!!!
 
Namuamini Jackie.

Alisema sheria za dawa za kulevya zikazwe ukali.

Soon baada ya kauli yake mwanae wa kiume akakamatwa kwa kuvuta bangi.

Akaja kuhojiwa juu ya hilo swala.

Akajibu mwanae na ahukumiwe kwa sheria zilizopo.

Sioni kama anaweza kuturn blind eye ova this kisa ni binti yake.
 
hakuna sheria china inayokataza mapenzi ya jinsi moja. Hawana ndoa tu, ila wanakulana bila bugdha
 
Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.View attachment 947804
Daah!..atakua amemjibu yule was karate kid wa Smith ..
 
Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.View attachment 947804
Lana hizo
 
Movie za Dingi zimemwathiri hadi binti. Binti kakatamani uanaume!
 
Back
Top Bottom