brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.