Ina maana Jackie Chan asahau kuitwa Bibi !!!!Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.View attachment 947804
hahahhaaaKwahiyo huyu binti utamu wa gitamuri atausikia kwa jirani??
hakuna sheria china inayokataza mapenzi ya jinsi moja. Hawana ndoa tu, ila wanakulana bila bugdhaNamuamini Jackie.
Alisema sheria za dawa za kulevya zikazwe ukali.
Soon baada ya kauli yake mwanae wa kiume akakamatwa kwa kuvuta bangi.
Akaja kuhojiwa juu ya hilo swala.
Akajibu mwanae na ahukumiwe kwa sheria zilizopo.
Sioni kama anaweza kuturn blind eye ova this kisa ni binti yake.
Daah!..atakua amemjibu yule was karate kid wa Smith ..Mtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.
Sehemu ya mameno hayo binti huyo ameandika" hakuna kitu kizuri Kama kujisikia kupenda na kupendwa na siku zote mapenzi hushinda". Huku aliweka hashtag inayozungumzia mapenzi ya jinsia moja.View attachment 947804
Lana hizoMtoto pekee wa kike wa muingizaji maarufu duniani Jackie Chan aitwae Etta Ng mwenye umri wa miaka 19 amethibitisha kufunga ndoa na mwanamke mwenzie ajilikanae Kama Andi Autumn kupitia mtandao wa kijamii baada ya kuposti cheti Cha ndoa na kusindikiza na maneno ya mahaba.