miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
Hahahahaha...... Hata kama ungekua nalo la kutisha ila heshima nyumbani kwako lazima iwepo banaNyumbani kwangu kanga mwisho mlango wa chumbani. Ukivuka mlango vaa gauni sketi suruali njoo sasa tukutane .... kanga inatega hasa wenye vikalio halafu me sina pakufungia kanga ... NI MARUFUKU
Ndiyo lazima maswala ya kunigeuza mlinzi wa macho ya mume wangu badala ya waleti wakome... wananuna mmoja alizengua nikachukua makanga yake nikafutia vumbi [emoji1] [emoji1] [emoji1] nikamnunulia dera aliondokaHahahahaha...... Hata kama ungekua nalo la kutisha ila heshima nyumbani kwako lazima iwepo bana
Mungu hakupi vyote[emoji41]Nyumbani kwangu kanga mwisho mlango wa chumbani. Ukivuka mlango vaa gauni sketi suruali njoo sasa tukutane .... kanga inatega hasa wenye vikalio halafu me sina pakufungia kanga ... NI MARUFUKU
Uwe sa zingine unakubali kusaidiwa[emoji12]Ndiyo lazima maswala ya kunigeuza mlinzi wa macho ya mume wangu badala ya waleti wakome... wananuna mmoja alizengua nikachukua makanga yake nikafutia vumbi [emoji1] [emoji1] [emoji1] nikamnunulia dera aliondoka
Kwa jinsi wanaume walivyo na tamaa aiseee ndg wa kike kuishi nae kwa hali ya sasa inataka moyo mpana maana wanawake wa siku hizi tunavyopenda mteremko baaasi jiandae tu nduguyo kuwa mke mwenzioNyumbani kwangu kanga mwisho mlango wa chumbani. Ukivuka mlango vaa gauni sketi suruali njoo sasa tukutane .... kanga inatega hasa wenye vikalio halafu me sina pakufungia kanga ... NI MARUFUKU
Yaani wewe mama Asha kwa vituko loh!Wengi wetu huwa tunaishi na wazazi na ukitoka kwa wazazi unakwenda boarding school baada ya hapo chuo na kuanza kazi. Hakuna formula moja ya maisha, kwa sababu hii na ile inabidi uishi na ndugu na jamaa kwa muda mfupi au mrefu.
Binti wewe uko ugenini unaamka saa nne asubuhi, wenyeji wameshakwenda kazini unatoka chumbani na khanga moja unajaa siting room. Unasikia njaa huyo umesafisha meno na kutengeneza toast umerudi kutafuta cha kuangalia kwenye TV.
Wenyeji wana rudi jioni ndiyo unajikurupusha kwenda kuoga, wala huna wasiwasi kuwa baba mwenye nyumba ni jinsia ya kiume maungo inabidi uyastiri. Unapita na khanga moja kutoka bafuni.
Mwenyeji wako ni auntie ambae ameshakuwa na mashaka na ugeni huu. Akirudi na tiketi yako ya kurudi kwenu Tandahimba unaamni kuwa auntie ni mbaya hapendi kusaidia ndugu.
Ha ha ha hayaMungu hakupi vyote[emoji41]
Wanisaidie kisiriUwe sa zingine unakubali kusaidiwa[emoji12]
hiyo ndo njia nzuri ka unavomsaidia we kisiri.. na hatojua kamwe🙄Wanisaidie kisiri
Ana laana huyo binti, dada aliyekulea na kukusomesha ni sawa na mama yakoKwa jinsi wanaume walivyo na tamaa aiseee ndg wa kike kuishi nae kwa hali ya sasa inataka moyo mpana maana wanawake wa siku hizi tunavyopenda mteremko baaasi jiandae tu nduguyo kuwa mke mwenzio
Kuna mbaba huku nilipo ni maarufu sana tu kamuoa mdogo kabisa wa mkewe na wamemlea tangu mdogo huyo mama amepoteza network yupo yupo tu inauma sana na utajiri alonao mumewe lkn havimfai kitu mdogo wake ndo kwanza hana habari anakula bata tu na shemeji yake
Kamlea tangu chekechea si ndo maana Dada mtu kadata coz kamlea km mtoto wake baada ya mama yao kufariki na baba yao kuoa mke mwingine sasa kumuepusha na adha za mama wa kambo akamchukua km mwanae lkn ona malipo alomlipaAna maana huyo binti, dada aliyekulea na kukusomesha ni sawa na mama yako
Hapo sawahiyo ndo njia nzuri ka unavomsaidia we kisiri.. na hatojua kamwe🙄
Haiwezekani mi niwe nafuwa alafu wewe upo ndani.Kisà sijakuoa yaani unakubali kutoa papuchi alafu nguo ukataeKama ni boyfriend hajanioa simfulii nguo, ninaweza kumsaidia kusafisha nyumba na kupika. Atauona usafi wangu akija kwangu. Mkizoeshwa kufuliwa, kupigiwa pasi na kupewa vitamu mnasahau kuoa