Mtoto wa kike akiwa ugenini

Mtoto wa kike akiwa ugenini

Je siku za weekend huwezi kuja kunitembelea na hizo siku za kuonyesha usafi wako kwangu.Sio stories bila vitendo
 
Ukija kula chakula kwangu utauona usafi wangu au nipe haraka
 
Mtoto wa kike hana ugeni,siku ya kwanza tuu ya pili inabidi kujishughulisha na kuchangamana na wenyeji wako ili kujua mazingira ukilala mpaka SAA 4 si hatari...mmh!!!
 
Mkuu siku ya kwanza tu ukishaosha sahani yako unauliza sahani zinakaa wapi, asubuhi unadust nyumba na kuuliza upike nini?
 
Wamama wazaman walipata Mafunzo kwa wazazi wao. Ndio maana walikuwa wazazi na walez bora watoto wa siku hizi wanafundwa whatsapp Kwenye groups huko, wakati ni elimu ya bure angeipata kwa mama yake au mlez aliyemlea
Mama yuko busy jamani.
 
Hapana anaweza kuanzia boarding kuanzia la kwanza na bdo anatabia nzuri, ni malezi ya wazazi ndo yanatakiwa 7bu wazazi weng wakiona wana Dada wa kazi hawa waambiii watoto wao wawai kuamka na kumsaidia na kazi zngne za nyumban...... Kwaio ni jukumu la wa mama kuwafundisha watoto wakiwa wadogo kuwai kuamka na kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumban
Naona unajipa matumaini mrudishe mtoto nyumbani umlee mwenyewe!Yaani mtoto wa miaka 5 aanze boarding hadi anafika Chuo na awe na tabia sawa na mtoto aliyelelewa vizuri na wazazi?Unamlea mwanao miezi miwili kwa mwaka na analelewa na Ulimwengu miezi 10;Mtoto peleka boarding akiwa secondary kidogo inaelezeka acheni kukimbia majukumu
 
Si kuwa hatuwapendi mkuu tuna sacrifice kwa future yao.
 
Ni kweli kabisa mkuu, ikiwezekana dada weekend apewe off watoto wafanye shughuli zote za ndani
Na wewe una amini mtoto anaweza kusoma boarding kuanzia la 1 na asiwe na tatizo la malezi?anaweza anafanya kazi za ndani lakini akawa na issue serious angalia backgrounds za mashoga na wasagaji wengi
 
Si kuwa hatuwapendi mkuu tuna sacrifice kwa future yao.
Future ambayo inaweza kusababisha akuchukie;kuna thread humu humu watu walikua wanatoa ushuhuda wasivyokua na Upendo na wazazi wao sababu either waliwapeleka kwa ndugu au boarding wakiwa wadogo;Primary za day nzuri zipo kibao tu!Mimi ni mwanaume ila sidhan kama nitapata usingizi my 8 years old girl yupo na watu wengine wasio ndugu kwa miezi 6 ndio nimuone
 
Mimi pia nadhani matatizo ya mabinti wa siku hizi yanatokana na matatizo ya wazazi wa siku hizi. Elimu ya malezi bora inahitajika sana katika jamii yetu kwa sasa kuliko kipindi chochote kile. Watoto wanapelekwa boarding school tangu age 3. Unakuta binti amekua lakini hajui hata kufua nguo yake ya ndani, anafuliwa na house girl. Ukweli inauma sana
 
Mmmhhh, unaweza kuonekana una kiherehere
Mtoto wa kike haoshewi sahani especially kama nyumba haina house girl na aliyekutengea chakula ni auntie.
Asubuhi kama aliondoka mapema wakati wewe umelala inaanza tu kudust na kumuuliza kwa text upike nini?
 
Mimi pia nadhani matatizo ya mabinti wa siku hizi yanatokana na matatizo ya wazazi wa siku hizi. Elimu ya malezi bora inahitajika sana katika jamii yetu kwa sasa kuliko kipindi chochote kile. Watoto wanapelekwa boarding school tangu age 3. Unakuta binti amekua lakini hajui hata kufua nguo yake ya ndani, anafuliwa na house girl. Ukweli inauma sana
Kuna wazazi ni makatili sana unamuacha mtoto wa miaka 5 boarding na unalala usiku
 
Mimi pia nadhani matatizo ya mabinti wa siku hizi yanatokana na matatizo ya wazazi wa siku hizi. Elimu ya malezi bora inahitajika sana katika jamii yetu kwa sasa kuliko kipindi chochote kile. Watoto wanapelekwa boarding school tangu age 3. Unakuta binti amekua lakini hajui hata kufua nguo yake ya ndani, anafuliwa na house girl. Ukweli inauma sana
Miaka saba mtoto wa Kiki au wa kiume shule kufua socks na pichu au boxer yake
 
Future ambayo inaweza kusababisha akuchukie;kuna thread humu humu watu walikua wanatoa ushuhuda wasivyokua na Upendo na wazazi wao sababu either waliwapeleka kwa ndugu au boarding wakiwa wadogo;Primary za day nzuri zipo kibao tu!Mimi ni mwanaume ila sidhan kama nitapata usingizi my 8 years old girl yupo na watu wengine wasio ndugu kwa miezi 6 ndio nimuone
Zile siku anazokuja likizo unamwambia asafishe chumba chake na kuandika kitanda, unamfundish kupika vitu kama wali, kuchemsha nyama au maharage, kukata vitunguu
 
Back
Top Bottom