Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea mazingira ganiNdo maan hupaswi kukaa ugenini muda mrefu unawapa watu majaribu tuu
Ooh I seeInategemea mazingira gani
Mkuu siku ya kwanza tu ukishaosha sahani yako unauliza sahani zinakaa wapi, asubuhi unadust nyumba na kuuliza upike nini?Mtoto wa kike hana ugeni,siku ya kwanza tuu ya pili inabidi kujishughulisha na kuchangamana na wenyeji wako ili kujua mazingira ukilala mpaka SAA 4 si hatari...mmh!!!
Mama yuko busy jamani.Wamama wazaman walipata Mafunzo kwa wazazi wao. Ndio maana walikuwa wazazi na walez bora watoto wa siku hizi wanafundwa whatsapp Kwenye groups huko, wakati ni elimu ya bure angeipata kwa mama yake au mlez aliyemlea
Naona unajipa matumaini mrudishe mtoto nyumbani umlee mwenyewe!Yaani mtoto wa miaka 5 aanze boarding hadi anafika Chuo na awe na tabia sawa na mtoto aliyelelewa vizuri na wazazi?Unamlea mwanao miezi miwili kwa mwaka na analelewa na Ulimwengu miezi 10;Mtoto peleka boarding akiwa secondary kidogo inaelezeka acheni kukimbia majukumuHapana anaweza kuanzia boarding kuanzia la kwanza na bdo anatabia nzuri, ni malezi ya wazazi ndo yanatakiwa 7bu wazazi weng wakiona wana Dada wa kazi hawa waambiii watoto wao wawai kuamka na kumsaidia na kazi zngne za nyumban...... Kwaio ni jukumu la wa mama kuwafundisha watoto wakiwa wadogo kuwai kuamka na kusaidia kazi ndogo ndogo za nyumban
Si kuwa hatuwapendi mkuu tuna sacrifice kwa future yao.Naona unajipa matumaini mrudishe mtoto nyumbani umlee mwenyewe!Yaani mtoto wa miaka 5 aanze boarding hadi anafika Chuo na awe na tabia sawa na mtoto aliyelelewa vizuri na wazazi?Unamlea mwanao miezi miwili kwa mwaka na analelewa na Ulimwengu miezi 10;Mtoto peleka boarding akiwa secondary kidogo inaelezeka acheni kukimbia majukumu
Na wewe una amini mtoto anaweza kusoma boarding kuanzia la 1 na asiwe na tatizo la malezi?anaweza anafanya kazi za ndani lakini akawa na issue serious angalia backgrounds za mashoga na wasagaji wengiNi kweli kabisa mkuu, ikiwezekana dada weekend apewe off watoto wafanye shughuli zote za ndani
Mmmhhh, unaweza kuonekana una kiherehereMkuu siku ya kwanza tu ukishaosha sahani yako unauliza sahani zinakaa wapi, asubuhi unadust nyumba na kuuliza upike nini?
Future ambayo inaweza kusababisha akuchukie;kuna thread humu humu watu walikua wanatoa ushuhuda wasivyokua na Upendo na wazazi wao sababu either waliwapeleka kwa ndugu au boarding wakiwa wadogo;Primary za day nzuri zipo kibao tu!Mimi ni mwanaume ila sidhan kama nitapata usingizi my 8 years old girl yupo na watu wengine wasio ndugu kwa miezi 6 ndio nimuoneSi kuwa hatuwapendi mkuu tuna sacrifice kwa future yao.
Mtoto wa kike haoshewi sahani especially kama nyumba haina house girl na aliyekutengea chakula ni auntie.Mmmhhh, unaweza kuonekana una kiherehere
Kuna wazazi ni makatili sana unamuacha mtoto wa miaka 5 boarding na unalala usikuMimi pia nadhani matatizo ya mabinti wa siku hizi yanatokana na matatizo ya wazazi wa siku hizi. Elimu ya malezi bora inahitajika sana katika jamii yetu kwa sasa kuliko kipindi chochote kile. Watoto wanapelekwa boarding school tangu age 3. Unakuta binti amekua lakini hajui hata kufua nguo yake ya ndani, anafuliwa na house girl. Ukweli inauma sana
Miaka saba mtoto wa Kiki au wa kiume shule kufua socks na pichu au boxer yakeMimi pia nadhani matatizo ya mabinti wa siku hizi yanatokana na matatizo ya wazazi wa siku hizi. Elimu ya malezi bora inahitajika sana katika jamii yetu kwa sasa kuliko kipindi chochote kile. Watoto wanapelekwa boarding school tangu age 3. Unakuta binti amekua lakini hajui hata kufua nguo yake ya ndani, anafuliwa na house girl. Ukweli inauma sana
Yeah mi pia nakubaliana na wewe, ni ukatili.Kuna wazazi ni makatili sana unamuacha mtoto wa miaka 5 boarding na unalala usiku
Zile siku anazokuja likizo unamwambia asafishe chumba chake na kuandika kitanda, unamfundish kupika vitu kama wali, kuchemsha nyama au maharage, kukata vitunguuFuture ambayo inaweza kusababisha akuchukie;kuna thread humu humu watu walikua wanatoa ushuhuda wasivyokua na Upendo na wazazi wao sababu either waliwapeleka kwa ndugu au boarding wakiwa wadogo;Primary za day nzuri zipo kibao tu!Mimi ni mwanaume ila sidhan kama nitapata usingizi my 8 years old girl yupo na watu wengine wasio ndugu kwa miezi 6 ndio nimuone