Mtoto wa kike akiwa ugenini

Mtoto wa kike akiwa ugenini

Hahahahaha...... Hata kama ungekua nalo la kutisha ila heshima nyumbani kwako lazima iwepo bana
Ndiyo lazima maswala ya kunigeuza mlinzi wa macho ya mume wangu badala ya waleti wakome... wananuna mmoja alizengua nikachukua makanga yake nikafutia vumbi [emoji1] [emoji1] [emoji1] nikamnunulia dera aliondoka
 
Nyumbani kwangu kanga mwisho mlango wa chumbani. Ukivuka mlango vaa gauni sketi suruali njoo sasa tukutane .... kanga inatega hasa wenye vikalio halafu me sina pakufungia kanga ... NI MARUFUKU
Mungu hakupi vyote[emoji41]
 
Ndiyo lazima maswala ya kunigeuza mlinzi wa macho ya mume wangu badala ya waleti wakome... wananuna mmoja alizengua nikachukua makanga yake nikafutia vumbi [emoji1] [emoji1] [emoji1] nikamnunulia dera aliondoka
Uwe sa zingine unakubali kusaidiwa[emoji12]
 
Ugeni kama huo mm naupendaga thana lazima nijifanye nina roho nzuri kwa mgeni, cku moja moja nitajifanya naumwa siendi kazin.
 
Nyumbani kwangu kanga mwisho mlango wa chumbani. Ukivuka mlango vaa gauni sketi suruali njoo sasa tukutane .... kanga inatega hasa wenye vikalio halafu me sina pakufungia kanga ... NI MARUFUKU
Kwa jinsi wanaume walivyo na tamaa aiseee ndg wa kike kuishi nae kwa hali ya sasa inataka moyo mpana maana wanawake wa siku hizi tunavyopenda mteremko baaasi jiandae tu nduguyo kuwa mke mwenzio

Kuna mbaba huku nilipo ni maarufu sana tu kamuoa mdogo kabisa wa mkewe na wamemlea tangu mdogo huyo mama amepoteza network yupo yupo tu inauma sana na utajiri alonao mumewe lkn havimfai kitu mdogo wake ndo kwanza hana habari anakula bata tu na shemeji yake
 
Wengi wetu huwa tunaishi na wazazi na ukitoka kwa wazazi unakwenda boarding school baada ya hapo chuo na kuanza kazi. Hakuna formula moja ya maisha, kwa sababu hii na ile inabidi uishi na ndugu na jamaa kwa muda mfupi au mrefu.

Binti wewe uko ugenini unaamka saa nne asubuhi, wenyeji wameshakwenda kazini unatoka chumbani na khanga moja unajaa siting room. Unasikia njaa huyo umesafisha meno na kutengeneza toast umerudi kutafuta cha kuangalia kwenye TV.

Wenyeji wana rudi jioni ndiyo unajikurupusha kwenda kuoga, wala huna wasiwasi kuwa baba mwenye nyumba ni jinsia ya kiume maungo inabidi uyastiri. Unapita na khanga moja kutoka bafuni.

Mwenyeji wako ni auntie ambae ameshakuwa na mashaka na ugeni huu. Akirudi na tiketi yako ya kurudi kwenu Tandahimba unaamni kuwa auntie ni mbaya hapendi kusaidia ndugu.
Yaani wewe mama Asha kwa vituko loh!
 
Kwa jinsi wanaume walivyo na tamaa aiseee ndg wa kike kuishi nae kwa hali ya sasa inataka moyo mpana maana wanawake wa siku hizi tunavyopenda mteremko baaasi jiandae tu nduguyo kuwa mke mwenzio

Kuna mbaba huku nilipo ni maarufu sana tu kamuoa mdogo kabisa wa mkewe na wamemlea tangu mdogo huyo mama amepoteza network yupo yupo tu inauma sana na utajiri alonao mumewe lkn havimfai kitu mdogo wake ndo kwanza hana habari anakula bata tu na shemeji yake
Ana laana huyo binti, dada aliyekulea na kukusomesha ni sawa na mama yako
 
Ana maana huyo binti, dada aliyekulea na kukusomesha ni sawa na mama yako
Kamlea tangu chekechea si ndo maana Dada mtu kadata coz kamlea km mtoto wake baada ya mama yao kufariki na baba yao kuoa mke mwingine sasa kumuepusha na adha za mama wa kambo akamchukua km mwanae lkn ona malipo alomlipa
 
Ndio maana sipendi wageni wa muda mrefu nyumbani kwangu,mwisho wiki lazima uondoke
 
Ndo maan hupaswi kukaa ugenini muda mrefu unawapa watu majaribu tuu
 
Kama ni boyfriend hajanioa simfulii nguo, ninaweza kumsaidia kusafisha nyumba na kupika. Atauona usafi wangu akija kwangu. Mkizoeshwa kufuliwa, kupigiwa pasi na kupewa vitamu mnasahau kuoa
Haiwezekani mi niwe nafuwa alafu wewe upo ndani.Kisà sijakuoa yaani unakubali kutoa papuchi alafu nguo ukatae
 
Back
Top Bottom