Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni boyfriend hajanioa simfulii nguo, ninaweza kumsaidia kusafisha nyumba na kupika. Atauona usafi wangu akija kwangu. Mkizoeshwa kufuliwa, kupigiwa pasi na kupewa vitamu mnasahau kuoaHakuna kitu kinanishinda kama madada wa siku hizi.Yan mtu anakuja kukutembelea lets say mpenzi halafu mkoba umejaa SEASONS.Akifika ni mwanzo wa kuangalia seasons tu.
Hawezi kuona kama pachafu asafishe au kuna nguo chafu afue yeye ni seasons na kuomba apewe chips.Akipanda kitandani zero kabisa.
Tamaa gauhawahi jumqacha mtu salama. Lakini ukiwa jenga watoto tabia ya kujiamini na kuwa Amina jua kupitia juhudi watapata kila kitu wanachokipenda.Mabinti wa hivyo wanakuwa wavivu then wanapenda vitu vizuri vizuri. Hata kuzini na baba zao hawaoni shida mradi aishi sawa na mtoto wa Mengi japo home choka mbaya. Inasikitisha
Unampa mtoto umasikini wa maisha. Ndiyo wale unawakuta wamefika 30+ hawajaolewa kisa anasubiri mwanaume mwenye pesaSi Ndio hawa watoto wenu wa kike kila SAA yupo Instagram anatupia picha abinua makalio juu na wazazi mnachelea tu!
Unategemea nini akienda kwa ndugu kama hajaishia kugongwa na mume wa dada yake!!
kazi zote anafanya binti wa kazi kisa nyie wazazi wake mlishazitafuta hamtaki mtoto ateseke.......
Mama mdogo abarikiwe. University wale wanaojua kupika wanasave pesa kuliko wale wa chai, lunch na dinner kwa mama ntilieKuna Binti alikuwa anaish na mama tu malez Kama hayo ya kudekezwa mpaka akamaliza std 7, mama ake alifariki ghafla ikabidi mtoto achukuliwe na baba ake, mzee wake alikuwa na watoto 15 na wengi walikuwa hawajamaliza shule, huyu Binti alifaulu shule moja Dar, baba ake anaish Mwanza ikabidi atafutiwe pakukaa kwa upande wa ndugu wa baba ake kwa ajili ya masomo ya sekondar, kutokana na uwezo wa baba ake Jimbo la kuamishwa lilikuwa gumu.
Akaletwa kwa mama angu mdogo ni shida jamani ,Hana anachojua hata kufua tu nguo zake ni mtihani ila mama Angu mdogo alienda naye sawa Sasa hivi yuko MUHAS pale haishi kuja kumshuru mama angu mdogo kwa malez japo mwanzon alikuwa anaona Kama manyanyaso maana anaona chuo jinsi mabinti wanavyodhalilika.
huyo mpenzi tu....!!!?Hakuna kitu kinanishinda kama madada wa siku hizi.Yan mtu anakuja kukutembelea lets say mpenzi halafu mkoba umejaa SEASONS.Akifika ni mwanzo wa kuangalia seasons tu.
Hawezi kuona kama pachafu asafishe au kuna nguo chafu afue yeye ni seasons na kuomba apewe chips.Akipanda kitandani zero kabisa.
Mkuu sio kuwa ni pachafu ila anaweza hata igiza kuwa anajali.Haiwezi kosa hata nguo moja chafu ndani au kufuta hata tv vumbi basi.huyo mpenzi tu....!!!?
wewe kwann ukae mahala pachafu na ulundike manguo,
siwatetei mabinti wa hivyo ila pia isiwe kigezo cha sisi wanaume kuwa wachafu kutegemea wapenzi,
naamini sisi tukiwa wasafi na wao wataadapt tabia hiyo na akifika atajishtukia mwenyewe kwamba leo mbona ndani kuna utofautii atajua umechoka atafanya ila kila siku akija ni ivo ivo tu aah! na yeye akiwa mvivu na mchafu basi mmekwishaa.
*Watt wakike wa siku hizi hamna kitu kabisa.
Very interestingKuna Binti alikuwa anaish na mama tu malez Kama hayo ya kudekezwa mpaka akamaliza std 7, mama ake alifariki ghafla ikabidi mtoto achukuliwe na baba ake, mzee wake alikuwa na watoto 15 na wengi walikuwa hawajamaliza shule, huyu Binti alifaulu shule moja Dar, baba ake anaish Mwanza ikabidi atafutiwe pakukaa kwa upande wa ndugu wa baba ake kwa ajili ya masomo ya sekondar, kutokana na uwezo wa baba ake Jambo la kuamishwa lilikuwa gumu.
Akaletwa kwa mama angu mdogo ni shida jamani ,Hana anachojua hata kufua tu nguo zake ni mtihani ila mama Angu mdogo alienda naye sawa Sasa hivi yuko MUHAS pale haishi kuja kumshuru mama angu mdogo kwa malez japo mwanzon alikuwa anaona Kama manyanyaso maana anaona chuo jinsi mabinti wanavyodhalilika.
hahaha [emoji28][emoji23][emoji23] hata mimi sirudiiiUganda kuna binti alilelewa kama yai na mama yake. Tena alikuwa ni mtoto wa single parent. Amefika chuo akipata boyfriend ambae alikuja kuwa mchumba na baadae mume.
Wameanza kazi walipangisha apartments ghali kiasi kuwa sehemu kubwa ya mshahara ilikwenda kwenye rent. Bible alipata ujauzito basi alipojufungua, mume anatoka kazini anakuta nappy za tangu asubuhi zinamsubiri kwenye basin. Akishafua inabidi spike chakula cha mzazi, ukizingatia ananyonyesha na mume asipopika anashinda toast na matunda.
Mume alivibeba kama miezi sita hivi, alipata mchongo wa kwenda USA hakurudi tena
hawa wa season ndo hatar tupu, maana huo muda wa kufatilia season ujue uwe hujishughulishi sana,Mkuu sio kuwa ni pachafu ila anaweza hata igiza kuwa anajali.Haiwezi kosa hata nguo moja chafu ndani au kufuta hata tv vumbi basi.
Yan mkuu wao wakifika ni kuweka seasons halafu anasema ana njaa muda huo huo
Mh balaaUganda kuna binti alilelewa kama yai na mama yake. Tena alikuwa ni mtoto wa single parent. Amefika chuo akipata boyfriend ambae alikuja kuwa mchumba na baadae mume.
Wameanza kazi walipangisha apartments ghali kiasi kuwa sehemu kubwa ya mshahara ilikwenda kwenye rent. Bible alipata ujauzito basi alipojufungua, mume anatoka kazini anakuta nappy za tangu asubuhi zinamsubiri kwenye basin. Akishafua inabidi spike chakula cha mzazi, ukizingatia ananyonyesha na mume asipopika anashinda toast na matunda.
Mume alivibeba kama miezi sita hivi, alipata mchongo wa kwenda USA hakurudi tena
Hao nitakuja na dhread yao mkuu. Tena mtoto wa kiume unaosha na gari asubuhi hata wenyeji wanaona umuhimu wa wewe kuwepo.Sky, nadhani sio wanawake tu. Hata kijana wa kiume, ukikaa kwa watu lazima uchakarike. Sio kusubiri wenyeji waondoke ili ulale na house girl.