Mtoto wa kike yuko katika mazingira hatarishi ukilinganisha na mtoto wa kiume!!mtoto wa kike asipopata mahitaji muhimu atatafuta njia nyengine za kujipatia kipato ambazo ni hatarishi kwake .njia hizo mmojawapo ni kujiuza.hakuna kitu kinachoniuma sana ninapopita maeneo kama mbeya pazuri na pale mafiati marufu kama kanivo muda wa jioni.utakuta wazichana wako pale wamevaa nusu uchi Ili wajipatie kipato kutoka kwa wanaume wajinga!! Kwa vyovyote vile ,wale wasichana sidhani kama walifika hata form four.na kama walifika form four lazima walifeli mtihani wa taifa. Siku Moja muda wa saa nane usiku nilipita pale kanivo kundi kubwa la wasichana walinifuata kutaka kujiuza kwangu.nilijisikia vibaya sana kwa sababu Hawa ni watoto wa wazazi kama Mimi!!
Mtoto wa kike akishakosa kipato halali ,atajiuza,atapata mimba bila kutarajia ,ataamua kwenda kuitoa .Hii inakuwa hatari sana maana anaweza kufa kwa kutokwa damu nyingi ,kizazi kuoza nk.lakini pia hata kama ataamua kubeba mimba hiyo anaweza kufia leba wodi wakati anajifungua,anaweza kupata kifafa Cha mimba.mtoto wa kike kama hajasoma au kama uchumi wake hauko sawa ni rahisi sana kunyanyaswa na mwezi wake ,ndugu zake na majira zake na jamii kwa ujumla!!
Ni tofauti sana na mtoto wa kiume.mtoto wa kiume kama hajasoma anaweza kujiajiri au kuajiriwa hata kama mazingira yatakiwa magumu.Maumbile yake hata kama Atakuwa mazingira magumu siyo rahisi kumsababishia umauti tofauti na mtoto wa kike!!
Hivyo Sasa jamii haina budi kumsomesha mtoto wa kike kumuepushia kuishi katika mazingira hatarishi ambayo yanapunguza furaha yake na kumsababishia siku zake kuwa ngumu!!